Hivi kwa haraka haraka, huyu msichana atakua anataka nini kwangu?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
8,974
16,981
Hello guys!

Siku chache zilizopita tulisafiri kikazi pamoja na wafanyakazi wenzangu kwenda mkoani Dodoma kuhudhuria training flani. Sasa kuna binti ambae mimi sikua na mazoea nae wala, siku ya siku tukiwa training akaniomba number yangu kwa kigezo kwamba iwe rahisi kutafutana endapo kutakua kuna lolote la kuambiana kuhusiana na kazi, sikuona tabu sana kumpa.

Tukiwa Dodoma tukawa tunapigiana just tunaongea maswala ya kazi tu. Sasa training imeisha na kila mmoja amerudi kwenye kituo chake cha kazi, tumekaa siku kama nne bila kutafutana, kuna siku akaanzisha conversation na mimi akaomba nimtumie watsap my favorate song, nikamtumia, siku ya jana akaniomba nimtumie picture yangu nikamtumia. Sasa chale zimeanza kunicheza hapa wakuu.

Hivi inawezekana akawa anataka nini kwangu huyu?
 
Anataka chale zikucheze na umeandika zimeanza kucheza. Sasa tulizana tu Mkuu mpaka chale zako zitulie kucheza. o_Oo_O

hello guys!
siku chache zilizopita tulisafiri kikazi pamoja na wafanyakazi wenzangu kwenda mkoani dodoma kuhudhuria training flani.sasa kuna binti ambae mimi sikua na mazoea nae wala,siku ya siku tukiwa training akaniomba number yangu kwa kigezo kwamba iwe rahisi kutafutana endapo kutakua kuna lolote la kuambiana kuhusiana na kazi,sikuona tabu sana kumpa.tukiwa dodoma tukawa tunapigiana just tunaongea maswala ya kazi tu .sasa trainjng imeisha na kila mmoja amerudi kwenye kituo chake cha kazi,tumekaa siku kama nne bila kutafutana,kuna siku akaanzisha conversation na mimi akaomba nimtumie watsap my favorate song,nikamtumia..siku ya jana akaniomba nimtumie picture yangu nikamtumia.sasa chale zimeanza kunicheza hapa wakuu...
hivi inawezekana akawa anataka nini kwangu huyu?
 
Utampaje picha kizembe zembe mtu hamjuani kiundani na hamna mahusiano ya karibu? Ni wa wapi huyo mdada? Kama wa mkoa ule ataenda kuzisafisha akugeuze zezeta kwake mpaka utamkabidhi funguo za gari la bosi. Hapo ndio utajua Rayvany alipoimba zezeta hakujipendea
 
Utampaje picha wakati anakujua na mlikuwa wote? Ni wa wapi huyo mdada? Kama wa mkoa ule ataenda kuzisafisha akugeuze zuzu kwake mpaka utamkabidhi Mali zako
mkuu kwani mtu kuwa na picha yako ni mpaka awe hakufahamu?
 
Tuliaaa ! Mbona una haraka, amekuomba namba umempa .Amekuomba picha umempa , ww mpeeee ndo anavyotaka hvyo.
 
ACHA TAMAA MKUU ITS JUST A FRIENDSHIP.
Hizo mambo mbn siku izi kawaida tu
 
Umeshasema alikutaka favorite song na baadae picha sasa maswali ya nn tena?
 
Back
Top Bottom