Heshima ya ndoa ni tendo

Kalam mpya

Member
Mar 30, 2017
84
76
Hivi karibuni jamaa mmoja alisafiri kikazi nje ya Dar es Salaam, jamaa alikaa huko siku 20 hivi. Akiwa kaacha familia yake Dar es Salaam.

Siku 20 zilipotimu akarejea kwake kwa watoto na mkewe. Ndugu zangu ndoa ni tendo lenyewe. Jamaa baada ya kula na kuoga wakawa katika bed wakiwa wawili tu huku watoto wakiwa wamelala vyumbani kwao.

Jaamaa ilifika muda ule wa kutaka faragha yaani tendo la ndoa.Pata picha mtu aliekaa bila kula masaa12 na mtu alikosa tendo hilo siku 20 huku akijua leo natanabahari katika utukufu wake Karim alafu mkeo anakataa kata kata
na kudai kua amechoka sana.

Hali hii jamaa ilimkasirisha sana jamaa na kumuanzishia kipigo mkewe siku hio. Kwa kua jamaa alimpiga sana aliamua kusepa mbali kwa muda kidogo na kurudi kwake.

Wewe unadhani mke na mume nani anakosa kati yao?
 
Ati kachoka!wakati wenzake huwa wanakupanulia halafu wewe shughulika yeye anaingia FB..halafu inakuwa ...ya ayuni tayari haya kaoge.
mkuu huyu jamaa amekiaibisha chama chako pendwa..nikidhani chama hiki husaidia kuondokana na kesi za kihivi...kama jamaa angepiga kimoja cha mkono hakungezuka mtafaruku...
 
Mambo haya yapo kwa nyumba zetu.

Waliokua dhaifu hupiga master brrishen na wengine usiku huo huo anatoka kutafuta maradh nje.

Wanawake wengi hawajui kama ndoa ni tendo lenyewe ukikacha tu mwenzio anatafuta msada nje
 
Back
Top Bottom