Askari Muoga JF-Expert Member Oct 22, 2015 6,113 4,658 May 23, 2017 #1 Kama wanawake wanaotafuta wanaume kwenye mitandao tunasema Ni Malaya wanajiuza je wanaume wanaotafuta wasichana kwenye mitandao na wao tuwaitaje
Kama wanawake wanaotafuta wanaume kwenye mitandao tunasema Ni Malaya wanajiuza je wanaume wanaotafuta wasichana kwenye mitandao na wao tuwaitaje
Paprika JF-Expert Member Feb 25, 2017 5,951 9,877 May 23, 2017 #3 Nani anasema wanajiuza? Wanaojiuza wanakupa dau mkuu!
Nokia83 JF-Expert Member Jan 16, 2014 24,643 44,317 May 23, 2017 #4 Wangekuwa wanajiuza wasingetafuta
nzalendo JF-Expert Member May 26, 2009 12,088 12,829 May 23, 2017 #7 Hebu tupe mfano mtandao gani ili tukajaribu....angalau japo link.