Anakaa kimya, nikimtafuta tu kizinga hicho

Anakaa kimya, nikimtafuta tu kizinga hicho

Mzee Chapuuka

Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
97
Reaction score
243
Hivi nyie kina dada wa mjini tena maeneo ya uswazi hii tabia mtaacha lini,
mkioneshwa kupendwa mnaleta mapozi utadhani mnatoka mboga Saba.

Simu hampigi hadi mpigiwe na mkipigiwa mnaanza kueleza shida zenu lukuki je usingepigiwa hizo shida ungeeleza saa ngapi.

Kuna haka kasichana kangu yani huyu msichana hapigi simu hatumi SMS, nikimtafuta tu atatoa sababu kibao na mzinga juu yani analeta usanii kwa msanii mwenzake
nina kama Siku 3 sijamtafuta hajanitafuta.

Leo namsalimia nakumbana na kizinga heavy ujue nawashangaa wanawake wa dizaini hii ya kuona kila mwanaume ni boya anatoa tu mpunga, sio kwa enzi za Magufuli wewe dada bora unione mwanaume suruali ila nimekuchoka.
 
madem wenzake watamtetea kwa kua umewagusa nao

shaaaaabash
 
Watoto wa kike mue independent kdg,mnapiga vizinga hadi mnapoteza thamani zenu,mjishughulishe kujitaftia hata ka elf10 kwa wiki kwa kujikimu sio unaomba nauli,vocha,mafuta ya kupaka wkt ushagonga miaka 25,mjitume dada zangu wote tutafute,maisha yamebadilika.
 
Ndiyo zao mkuu hawa viumbe,mizinga mpaka unaogopa kumjulia hali,mi siku hizi nimepumzika,nimeamua kimtafuta Mzee mwenzangu anayejua nini? maana ya kupendana na inapobid tunasaidiana,ni raha mustarehe na hakuna stress yoyote.
 
Alishajipatia kibuzi.... kimestuka ataendelea na mabuzi
 
Daaaah bro uyo unamkomoa tu si anapenda pesa sana

Unamfanyia kitu ambacho atokuja kuamin ktk maisha yake yote

Mademu hawo wazuri wa kuwapa funzo ktk maisha washenzi sana
 
Shida unapenda afu unaganda hapo hapo. ..mimi kiukweli namtokea demu, napiga papuchi then nampa buku. Nampa ahadi kibao akipiga mzinga tu namwambia njoo uchukue afu napiga papuchi tena hadi punye yangu inasinyaa, namchukua na gari yangu namwacha karibu na kwa na kumpa buku 5, ndo hanioni tena. Naendelea kutafuta wengine under 22 na style ni hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom