Delightness
Member
- Apr 19, 2017
- 20
- 29
Mrejesho :
Nashukuru kwa mlionidhihaki na maneno na matusi yenu but mi sio aina hiyo ya wasichana mnaodhani niliweka vigezo vile kupima ni aina gani ya wanaume waliopo Tanzania but nimegundua wengi wenu kujiamini ni ziro ila wanachojua ni matusi but naishukuru Jf kwa kunipatia mpenzi ambaye ni mwalimu wa Secondary kwa shule flani hapa dar ingawa PM walikuja wengi kwa kujifanya wana pesa but sikuhitaji vyote hivyo ila nilihitaji mwanaume ambaye anajiamini as a man
AHSANTENI SANA WANA JF
Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM