Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,797
- 6,795
Habari
Humu jukwaani kuna baadhi ya memba wanaletaka mabandiko yao. Mengine yanaonyesha maisha ya mapenzi waliyopitia n.k
Kuna memba humu kazi yao ni kukosoa as if wao foolish age hawajawahi kupitia. Ukileta jambo ambalo ulilolifanya enzi unakuwa tuseme ulitembea na chang.doa basi unaweza kupata maoni hasi.
Kinachonishangaza karibia wote wanaotoaga maoni hasi wao hawajawahi kuleta nyuzi zozote angalau na sisi tuchangie (Mimi huwa nafuatiliaga maoni ya memba humu)
Wanawake wa humu nawashangaa sana. kwanza wote twatumia fake id na sidhani kama tunajuana. mimi sijuagi yoyote humu, ila sijui wengine. Memba wa kike akitaka kuanzisha mada, wengine hufungua new id sijui wanaogopaga nini hasa maana ata id yako ni fake, sasa kinachowaogopesha ni nini kufunguka.
Ikitokea uzi unaohitaji mawazo ya kike cha ajabu unaweza usione mchango wao ata mmoja.
kingine ni baadhi ya memba kuanza kuhusisha mada inayoletwa na mama yako, shangazi, bibi, na jinsia hiyo.
naombeni majibu