Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,865
- 730,448
Asikudanganye mtu ni wanaume wachache mno ambao hawageuki kutathmini upande wa nyuma wa wanawake
Ishu kubwa hapa ni kwamba ngo'mbe hata anone vipi huwezi kumla akiwa hai...
Nyama yake hata inone na kuvutia buchani huwezi kuila pale
Nyama yake hata iwe tamu kiasi gani huwezi kumaliza kilo tena likiwa pande zima
Wataalam wa mapishi wanasema nyama iliyokatwa vipande virefu vyembamba ama vifupi vinene kiasi ama pembetatu ama mduara ama kusaga ni tamu zaidi kuliko yale mapande makubwa yaliyokatwa bila mpango.... Kumbuka ishu ya viungo pia inahusika hapa.....
Nyama ina ladha yake tena tamusana lakini lazima iwe na viwango na ukubwa unaotafunika
Denda la nini sasa....