Hivi kunauwezekano .. .kumiliki demu aliyekuzidi urefu.. Pia ni sawa kumiliki mwanamke aliyekuzidi urefu...
Maana kuna wanawake warefu zaidi yangu ...huwa naingiwa na woga kuwatia sound..
Hebu...
Niliwahi nyanyuliwa na wife juujuu toka Saloon mpaka home.Nimeoa mjaluo wa Rorya,wanawake wa Kijaluo wana wivu sana manina.
Ilikuwa weekend,yeye katoka kanisani,nikamwambia nipitie hapa saloon...
Kuna mdada alikuwa g-friend wangu tangu form 2-4, hii ilikua 2008-2011.
Baada ya hapo kila mmoja alipita njia yake baada ya elimu ya sekondari. Binafsi mi niliendelea na skuli hadi chuo na...
Habari Wana JF!
New Monday, New Money au vipi? ha! if only but we dream ey!
Basi mimi nina ishu na vijana na leo. Siwaelewi kabisa aisee. Hivi? Ni nini kinawafanya muoe au muolewe? Haya maamuzi...
Fid Q aliwai kusema "Sijawai penda km hivi ILA mapenzi yakaniteach"
Mistake niliyofanya kwake Ni kuanza kumpenda kabla hata ya kupiga nae story, hapa ndio nimeharibu kila kitu. Nimevunja miiko...
Hili suala halizungumzwi lakini lipo sana kwa hawa wadada wa kazi kuliwa utamu wao na vijana wakiume kwenye hayo majumba wanayofanyia kazi. Kuna mda hadi ma baba wenye nyumba (boss) nao wamekuwa...
Mada tajwa yahusika,
Siku hizi kumekua na mtindo wa watu kubadili dini na kufuata zile za wapenzi wao ili hatimaye wafunge ndoa. Siku za nyuma tuliona wanawake ndio hubadili dini na kufuata dini...
Asanteni wadau Kuna post zangu nilituma humu kuhusu ex wangu,wengi wakanishauri kuwa MTU kama umeachana naye usimfuatilie basi kweli nikafuata Ushauri wenu nikawa simtafuti fb,wasap,text wala...
Habari za jumapili wana JF I hope iko poa
Hivi kwa nini wanawake wengi ni wafupi hivoo jamani ?asilimia 85% ya wanawake ni wafupi.
Mimi Nina urefu wa Futi 6.8 wanawake kama hawa ukiwatafuta...
Habari zenu wakuu..
Jaman mwenzenu nimekua na tabia moja ambayo nashindwa kuelewa kwamba ni tatizo au ndo uanaume. Mwenzenu huwa cwezi kutoa pesa kwa mwanamke, kila nikitaka kutoa pesa nachukulia...
Habari za majukumu waungwana .Katika kutafakari Leo nikawaza Katika maisha yako ni jambo gani ungependa kulijua au kufahamishwa.
Jambo hili laweza kuwa ndani yako au jamii inayokuzunguka kwa...
Wakuu kwa wale waenda disco waume/wake, je unapenda mtu unayeenda naye awe na tabia zipi?
Mimi napenda dem mchangamfu anaependa kucheza mziki hasa km akiwa mkatikaji mzuri, asiwe mgomvi au mpole...
Huyu dada ana miaka 32 kwa sasa kama tungekuwa tunaangalia saa kwa njia za kale tungesema sasa ni jioni kwake. Ana sura nzuri na umbo zuri pia.
Shida kubwa sasa amekuwa na hamu ya Kuolewa mpaka...
Habari za weekend wakuu, embu tukumbushane wale mademu maarufu mtaani kwenu ulipokulia( kijijini au mjini) waliokuwa saidia masela
Mimi namkumbuka demu mmoja alieitwa Kituui yaani huyu vijana...
Mwanaume na mwanamke inafika mahali wanaacha wazazi wao na kujenga familia yao kama mke na mume ndivyo tulivyoagizwa na kwenye vitabu takatifu vya mungu. Ya kuwa Tazama mke utaacha wazazi wako na...
Holaaa...!!!
Its Fridayyyy... kwa wale ambao mifupa yao bado haijapinda na hawapati ukakasi kuinama na kuinuka basi mida ndo hiyooo inajongea ya kujivua gamba na kuzaliwa upya... hii inaitwa...
Ndoa nyingi zipo mashakani kwa sababu manung'uniko, hasira, kutovumiliana,kufoka,kutukanana,kutoaminiana, kuwaziana mabaya badala ya mazuri, kujikweza kwa majivuno yasiyo na maana, kunyimana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.