eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Hili ni swali nauliza na kama hivi ninavyoelewa sivyo basi mnisaidie kulijibu hili swali
Ninachojua mimi ukiacha yote yanayosemwa kama kila mmoja hatimizi wajibu wake basi hakuna mapenzi hapo
Mapenzi ni kutoa na sio mmoja kutoa na mwingine kupokea tu
Kama we hutoi na unapenda kupokea tu ujue upendo huo unaelekea kufa siku moja