utajisikiaje utakapopata sms kama hii asubuhi na mapema kutoka kwa mpenzi wako wa kike

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
unapata sms inayokuamsha asubuhi kutoka kwenye ndoto nzuri " honey mi nadaiwa naomba uniazime sh laki moja tuu....luv u so much mwaaah" utachukua uamuzi gani wa busara , ,
 
Inategemea na aina ya mahusiano mliyonayo na uwezo wako kifedha.
Kama mna serious relationship na mfuko unaruhusu ni vema ukauliza hiyo fedha nataka kuifanyia nini then ukiona matumizi ni ya maana mpatie.
Thanks
 
Jamani wadau laki moja tu? Kama wife material na through her actions najua ananipenda, hata kama sina nitakopa popote nimtumie, but kama ndo wale macho juu juu, nitamjib tutaongea badae... Ila laki moja kwa mtu nitayemlipia mahali mamilion... Laki kitu gani hata milion nitakopa but kwa sababu inayoeleweka....

Vinchenchede thubuutu wataisoma namba maana sichelewi kumjibu mi mwenyewe nilikuwa nataka nikuazime laki 2 nimepata ajali
 
HAPO KWENYE RED KUMENIFURAHISHA SANA haahaaha
 
si unampa?
mimi kweli kama mwanaume hawezikunisaidia wakati nina shida...siwezi kukaa nae..
mwanaume wa kitandani tu wa nini?
maisha ni mambo mengi .hapo kitandani ni bonus tu..
laki kitu gani laki si pesa...
 
unapata sms inayokuamsha asubuhi kutoka kwenye ndoto nzuri " honey mi nadaiwa naomba uniazime sh laki moja tuu....luv u so much mwaaah" utachukua uamuzi gani wa busara , ,

Nadhani uamzi wa busara hapo ni kuangalia kama ipo na kumpatia haraka. Inaonyesha anakupenda sana kukushirikisha matatizo yake
 
Naijibu Sawa nitakutumia kiburudisho changu!! Juzi tu nimemtumia demu wangu wa chuo elfu 50, Kila mtu anakula kwa nafasi yake!!!
 
si unampa?
mimi kweli kama mwanaume hawezikunisaidia wakati nina shida...siwezi kukaa nae..
mwanaume wa kitandani tu wa nini?
maisha ni mambo mengi .hapo kitandani ni bonus tu..
laki kitu gani laki si pesa...

Na hata mimi mwanamke wa kitandani tu simtaki, mahusiano ni zaidi ya kulala pamoja, kama najua kabisa huu mzigo ni wife material na unanipenda kweli hata milion omba nitakutumia hata kama sina nitakopa, but mwanamke wa bata tu tuliokutana kimjini mjini umezimikia mkoko... He he he utaisoma namba hata 10 sikupi kizembe zembe nikupe nafasi ujikajitambe umenichuna,,, kavu kavu nakujibu sina, as juzi kati tu kuna kicheche cha chuo kilinipiga mzinga nikakijibu sina kikajifanya kuuchuna na mimi nikauchuna, jana kimenipigia eti leo kinakuja geto tuongee maana anajua simpendi, sasa sijui anafata nini kama hapendwi
 
si unampa?
Mimi kweli kama mwanaume hawezikunisaidia wakati nina shida...siwezi kukaa nae..
Mwanaume wa kitandani tu wa nini?
Maisha ni mambo mengi .hapo kitandani ni bonus tu..
Laki kitu gani laki si pesa...

kwahiyo pesa ndio kila kitu? Mbona kuna mengi ya kusaidiana jamani..
 
Back
Top Bottom