Nimeathirika kisaikojia nimefikisha miaka 42 sasa bado nashindwa kuoa. Kila napowaza naghairi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
7,869
16,917
Wadau,

Mimi ni mwanaume wa miaka 42 sasa. Tatizo langu kubwa kiukweli ni kushindwa kuoa. Kila ninapowaza kuoa naghairi sababu kila nikiwaza nilivyokuwa natembea na wake za watu naona nami itatokea kwangu hivyo hivyo.

Nimetembea sana na wake za watu. Nikikutana nao Facebook, na Instagram. Huwa tunachat baadaye tunakuwa marafiki na kuishia wapenzi.

Ni rahisi sana nadhani wengine wakiniona nilivyo n.k wanavutiwa na kujikuta wanajirahisi tu. Sasa kila ninapokuwa na mwanamke nataka kumuoa nikiwaza kuwa nimetembea na wake za watu zaidi ya 20 kirahisi sana na wengine wanadai walipata mimba kwangu. Nawaza na mke wangu watu watamkamua tu.

Najikuta naghairi na miaka inaenda sana. Nina mtoto mmoja wa nje. Natamani ningekuwa na wife lakini jambo hili huwa linanivunja moyo sana.

Nyie wenzangu mliooa mnaishi vipi na wake zenu hata kama huku nje wanaliwa?
 
Endelea kuwasaidia WANAUME wenzio KAZI ama MAJUKUMU yao..

Wakati wewe unatongoza WAKE za watu kupitia FACEBOOK na INSTAGRAM wahusika wanapita MITAANI kutafuta DOGODOGO wewe UTAISHIA kula MAKOMBO wakati vidume TUNATAFUTA VINYEME...

Humkomoi YEYOTE zaidi ya kusubiri MALIPO.. ..

Mungu hayuko BIZE..
Now days MALIPO ni hapahapa Duniani..
What comes around goes around...MUOSHA NAE HUOSHWA...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom