MC Luvanda umenikwaza

ranjan

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
338
288
Kwa kweli mwenzenu yamenifika hapaa, yaan nimekosa hadi usingizi, niko kitandan naperuz simu yangu, ghafla nikasema nichungulie kunani instagram, ghafla naona picha ya harusi ya alokuwa mchumba wangu, tulikuwa tunapendana ila kigezo cha dini ndio kilotutenganisha, tukashindwa kuona. .

Yaan Mc lukuvanda umesababaisha leo sitalala, walah. Zuwena jua tu ni nakupenda.
 
Daaaaah pole sana asee ...tunaomba na picha basii
 
Siwezi weka picha humu, ila tembelea page ya mclukuvanda utamuona
 
mkuu lala tu..usingizi utakupunguzia mawazo..haya mambo usiyabebe moyoni kama hutaki kuaga mapema..mademu ni weeeeengi hata ukitaka 20 utapata tu...kiufupi huyo hakuwa wa kwako na huenda ungeishi kujuta kama ungelimuoa
 
Roho inamiuma saana sijui kwa nini,? Nilikuwa nilishakubali matokeo na nilijua tarehe ya arusi ila nilivo iona picha kavaa shela kapendeza uwez amini roho imeniuma saana
 
wanaume tunahaibishwa na wivivu wachache, na ukiona mtu analilia mwanamke sana basi hajui kutongoza au hana hala pia inaweza kuwa vyote kwa pamoja
 
Kwa kweli mwenzenu yamenifika hapaa, yaan nimekosa hadi usingizi, niko kitandan naperuz simu yangu, ghafla nikasema nichungulie kunani instagram, ghafla naona picha ya harusi ya alokuwa mchumba wangu, tulikuwa tunapendana ila kigezo cha dini ndio kilotutenganisha, tukashindwa kuona. .

Yaan Mc lukuvanda umesababaisha leo sitalala, walah. Zuwena jua tu ni nakupenda.

Pole, asee Zuwena kifaa bana, ameshakuwa Mrs Simba a.k.a Mrs rufaa Fifa. Samahani imenibidi tu kukimbilia insta nimuone huyo zuwena.
 
Mkuu mwache aende.sio wako tena.toka nmeshindwana umekosa wa kureplace nafasi yake kweli?!embu ishi ktk ndoto zako sasa hivi.
 
tulikuwa tunapendana ila kigezo cha dini ndio kilotutenganisha , tukashindwa kuona. .

Yaan Mc lukuvanda umesababaisha leo sitalala, walah. Zuwena jua tu ni nakupenda.

Malalamiko yako hayana msingi.

Psss waiter naomba bili yangu
 
Pole, asee Zuwena kifaa bana, ameshakuwa Mrs Simba a.k.a Mrs rufaa Fifa. Samahani imenibidi tu kukimbilia insta nimuone huyo zuwena.
7510207e31ec9e2b0e229adf52c7e901.jpg

MashaAllah
 
Back
Top Bottom