Kwa mliooa wanawake waliowazidi umri

Random

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
791
742
Mnatushauri nin cc watchers hususan tunaotaka kuingia kweny ndoa? Not only waliwazid umri tu even mliosawa nao au mlipwapita kidogo kidogo pia eken uhalisia hadharani.. me naskiaga wanawake wa aina hiyo ni wababe sana
 
Kamwoe Miss Natafuta halafu utatuleta taarifa hapa jamvini! Mkuu kama anakuzidi inabidi uwe mpole kabisaaaa, na hasa ukioa mama wa Kikurya anayekuzidi umri utalijua jiji! Ukileta jeuri unachezea makofi, nakumbuka kijijini kwetu kulikuwa na jamaa ameoa li mwanamke limemzidi umri sasa kila siku jioni linapanga shughuli za kufanya kesho yake, Ngeleja kesho unaenda kupalilia mihogo, watoto wataenda kuchota maji ziwani. Na wewe Ngeleja hakikisha hiyo nusu ekari umemaliza ole wako urudi hapa hujamaliza utanitambua,, Ngeleja anaitikia "sawa mama". Sasa na wewe mkuu ukijichanganya tu,, utasimulia!!
 
mwingine anaweza kukuzidi umri ila umbile wewe unaonekana mkubwa... inategemea mkuu mbona wapo vizuri tu... sema sasa asikuzidi urefu hapo ataona kama anatembea na nyau..!!
Wanafaa...ni kama hao wengine...ukipata mnaomatch tabia na miili, super sema asiwe aliwah zaa kabla, hukawii kuletewa mtoto wa mjomba kumbe wake...
 
Back
Top Bottom