No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,774
Tunajua katika kipengere hiki hatutoki mmetukaba haswa hatuchomoki mnatuchuna Hasa na sisi hatuna namna kwa sababu ndio hivyo tena tushaamua kufa kidondani,ila mnasikitisha sana! Inawezekana vipi we mdada tangu umebalehe mpaka una familia wengine mnakaribia mpaka kuitwa bibi lakini bado mnategemea kuhongwa Tu,muweke hata muda maalum wa kutumika basi ili mjenge maisha yenu ndio maana mnazeeka upesi. Na sisi hatuachi kuwahonga si mmetuwekea TV Ndani siku hizi...........