Msichana wa QT au anayereseat akilala na mwanaume ,mwanaume atafungwa?

moses john choyo

JF-Expert Member
Nov 8, 2015
214
150
Samahan wanaJf wenzangu ,kuna kitu kimekuwa kikisumbua akrini mwangu,naomba kujua iwapo msichana anayesoma QT au anayereset akilala na mwanaume na ikajulikana ,kuna kesi?
 
kwa maoni yangu hao hawapo chin ya serikali na pia wametuma maombi tu yakufanya mtihani wa form 4 so wanaweza kukaa nyumban adi siku ya pepa na serikal isihoji so hamna kesi hapo ni watu wazima hao
 
Hiyo ni kama elimu ya watu wazima so si unajua mambo ya utuuzima ni mkide tu, so no need to worry mfurahie huyo binti but usije mpotezea time yake coz QT sio ya mchezo mchezo!!!
 
hahahahah IQ zingine bwana muache atafute credits please utalala nae siku akimaliza mitihani :)
 
Samahan wanaJf wenzangu ,kuna kitu kimekuwa kikisumbua akrini mwangu,naomba kujua iwapo msichana anayesoma QT au anayereset akilala na mwanaume na ikajulikana ,kuna kesi?

Kwa akili yako ndogo unadhani tatizo ni msichana kuwa shule tu yaani suala la umri hulifikirii kabisa!!we unadhani serikali umekurupuka eeh!! Unauliza kama kuna kesi yoyote ku sex na binti wa miaka 16 ambaye hayupo shuleni si ndio? Haya kafanye nae kichwa maji mkubwa we
 
Magereza naona hayapokei tena watu naona watu wanaforce kwenda kujazia nafasi zilizo wazi... huyo demu lazma atakuwa under 18..... Likibumburuka nitakuletea uji wa sukari na ndimu......
 
Kwa akili yako ndogo unadhani tatizo ni msichana kuwa shule tu yaani suala la umri hulifikirii kabisa!!we unadhani serikali umekurupuka eeh!! Unauliza kama kuna kesi yoyote ku sex na binti wa miaka 16 ambaye hayupo shuleni si ndio? Haya kafanye nae kichwa maji mkubwa we
20
 
Lengo la kuundwa kwa sheria ya kumuadhibu mtu aliyelala na mwanafunzi ni kuzuia uongezeko la ndoa za utotoni! so kinacho matter ni umri wa huyo binti ,, kama ni under 18 ni tatizo ila Above hapo haina shida sio mtoto huyo
 
Samahan wanaJf wenzangu ,kuna kitu kimekuwa kikisumbua akrini mwangu,naomba kujua iwapo msichana anayesoma QT au anayereset akilala na mwanaume na ikajulikana ,kuna kesi?

Jaribu kulala naye kisha kawaambie polisi ulichokifanya, kama hawakushiki basi utakuwa hauna kosa.
 
Tanzania ukilala na mwanamke asiye mkeo ni Kosa Kisheria. Hivyo hapo haiitaji awe qt or <18. Ikigundulika Utajazwa.
 
Samahan wanaJf wenzangu ,kuna kitu kimekuwa kikisumbua akrini mwangu,naomba kujua iwapo msichana anayesoma QT au anayereset akilala na mwanaume na ikajulikana ,kuna kesi?

Hufungwi ila serikali itakupongeza kwa umahiri wako wa kutongoza na kutembe Na mwana QT itakuzawadia makazi mapya huko utakuwa unalindwa kama mfalme huko utakutana na wenzako ambao serikali imewatunuku kama wewe kwenye hayo makaZi mtaishi miaka 30 ya upendo na amani kisha serikali itawaacha mrudi kwenye makazi yenu ya awali maana mda wa kuwatunuku utakuwa umeisha
 
Back
Top Bottom