Hey lo!
Skunyingi sijaandika small thread ila nipo buzy na story ya on my high horse
Story: On My High Horses ...
Juzi kati nikatua Kenya buana, Mombasa mojaaa si unajua tena mambo ya script...
Karibu wadau wote tulio gongewa wake zetu,wachumba zetu,wadogo zetu,dada zetu kutokana na mchezo wa jogging
Huu mchezo kuna mijitu kazi yao ni kutafuta mademu tu kwenye jogging ,linajifanya kocha...
Namuogopa mchumba wangu,
Namuogopa mchumba wangu kama alifanya attempt 2 za kujiua kwa ajili yangu kwa makosa madogo vile vipi nikifanya kosa kubwa? Siombei kufanya makosa wala sifanyi makosa...
Habari za mchana wana jf,
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29, Nipo kwenye ndoa tayari, ila mara nyingi sana sina hamu kabisa na tendo la ndoa (hisia za kufanya tendo)
je, hii husababishwa...
1. Unakaaje kwa dada yako..Mbaya zaidi kwa dadako mwenye mchumba au aliyeolewa..huoni aibu?
2. Unampigiaje simu shemeji yako (aliyemuoa dada yako) na kuanza kucheka cheka...
Acheni mambo ya ajabu...
Mimi ni Polisi: Kisa cha Mke wa Waziri
"Yanyukwe....Yakobolewe" (hii iliashiria kupiga makofi)
"Ipo siku moja nitarudi nyumbani, kwa baba na mama nikiwa kamanda… (repeat)"
Weka...
Miaka hiyo mwishoni mwa 90's tuko mikoani huko tulikuwa tunawaonea wivu sana watoto wa daslam.
Matukio ya tv ni wao, kwenye radio ni wao, kwenye mizik ni wao, mademu wazuri ni wao..
Kipindi ile...
Mfungo mwema kwa ndugu zetu waislamu.
Niingie kwa mada bila kuchelewa kuna utafiti nimefanya kupitia mimi na marafiki zangu nimegundua wanawake wanatuonea sana sisi wanaume wapole hasa kwenye...
Nimekuwa nikiona mara kwa mara, unakuta akina dada wamekaa sehemu wanapiga stori au wanatembea lakini ghafla akapita mdada mwenzao basi akishawapita lazma wageuke wamuangalie.
Nimezoea kuona sie...
Habari zenu wapendwa. Natumai mu wazima na poleni na mihangaiko ya siku ya leo.
Naomba mawazo yenu au msaada wenu kwenye jambo hili dogo au kubwa ambalo nimelifikiria sana kwa muda mrefu katika...
Baada ya kukuta chapati zimeisha kwa yule Mama choreko wa kinyiramba nilielekezwa mtaa wa pili ambako nilienda na kukuta chapati haswaa zikichomwa huku wateja wenzangu wakingoja, ilibidi niache...
SIITAJI KURUDI NLIKOTOKA..
Mwandishi: SEID BIN SALIM
SEHEMU YA KWANZA
Mwaka mmoja ukiwa umepita tokea binti mwenye umri wa miaka 24 lucky ajiunge na chuo kikuu cha dar es salam UNIVERSITY OF DAR...
Mimi ni kijana wa kitanzania ninatafuta mchumba, mimi ni mfanyabiashara wa madini nina pesa, nyumba, gari na kila kitu ambacho mtu anapaswa kuwa nacho katika maisha, tatizo tu natafuta mchumba aje...
Nilikua na mahusiano nae kama miezi 18,nilimfanyia mambo ya kumfurahisha sana kwan mm ni mcheshi na vituko vya kufurahisha all time,
Tuliachana nae nikaenda safari ya mbali kutafuta shekeli ili...
Nawaza tu kwa sauti, kama ingekuwa ukizini tu unawekewa alama usoni , nyuso zetu zingekuwa na alama ngapi?
Binafsi ningekuwa na alama chache sasa.
Kati ya wanaume na wanawake nani angekuwa na...
Naitwa Monilite,
Natafuta marafiki wa jinsia zote wa kushauriana mambo tofauti katika maisha ya kila siku
Sichagui kabila
Umri 26 - 30
Awe anapatikana dar es salaam
Alie tayar aje PM
Ndio, Wanawake wanakojoa wanapofika kileleni katika tendo la ndoa. Hii inaitwa fe.male ej.aculation au squ.irting. Wakati male eja.culation inaweza kuwa na ujazo wa kijiko 1 au 2, ya wakina mama...
Habari wadau wa MMU hivi kabla ya mwaka 2015 kulikua na Uzi humu jf kuhusu kuwepo kwa bei za wanawake wanajiuza na mitaa ambayo wanapatikana swali je
Kuanzia 2016 mpaka sasa...
Bado biashara...
WANAUMEEEEE!!!! itkieni EEEEEEHHHHH kwa sauti zetu nzito mungu alizotupa.
Mwanaume ni mwanaume kiumbe amabacho mungu alikiumba kwa mfano wake, Hutakiwi kulemaa lemaa maana hizo nguvu na akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.