Two gay dads have spoken of their delight as they prepare to welcome their first biological child.
Biff Chaplow and Trystan Reese are already adoptive parents to two young children Riley and...
Naomba kuuliza tuu jamani kuna jambo limenikuta na linanikera sana.
Kuna mdada nilimwonyesha kumpenda na akajua nampenda kwenye kumwalika ili tuongee nimwage sera zangu, alinata sana nikachoka...
Wakuu kuna baadhi ya makabila bado yana tabia za kwenda nyumbani kwao kuoa.Unakuta mtu katafuta sana maisha sasa anaamua kurudi kwao kuoa mke wa kabila lake.
Wengi wao hutumia mda mdogo sana...
Habari za muda huu wandugu poleni na majukumu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujuzwa kuna tofauti gani kati ya posa na mahari na kipi huwa kinaanza na kipi huwa ni kinapewa uzito...
Jamaa yangu uledi huwa analaani sana akisikia wanaume wa mjini. anasema miaka ya nyuma alikuwa na bint mmoja alimpenda sana huko morogoro.kawa yule bint amefanikiwa kuja kusoma chuo dar. anasema...
Ukweli kuhusu maisha ya wanandoa hasa katika kipengele cha usafi ni kwamba,Ukikuta mwanaume ni msafi,basi Mwanamke atakuwa mchafu.Na Mwanamke akiwa msafi,vilevile mwanaume atakuwa mchafu.Sasa hapo...
Leo kwenye shosti talk nimewaletea topic kutoka kwa Lizz David. .Anatuelezea kuhusu kudumu au kutokudumu kwa ndoa ya wanawake waliolala na wanaume wengi. Shuka ujisomee na usiache kuchangia mada...
Japo amekuoa, kuipata papuchi yako lazima akubembeleze sana na umfikirie sana, ndipo aipate. Siyo kwamba kwa kuwa amekuoa basi anakuwa anakugeuza na kukutumia kadri apendavyo. No! No thank ü...
Inaniuma sana mchumba wangu anaposhindwa kuwa huru mm kuaccess simu yake, anang'aka kweli mpaka imefikia wakati tunanuniana. Mimi yangu iko free tu, nikitika kazini ipogo tu mezani, anaweza...
mwamba c, fleha, & Michaelray22
Kama nilivyokwisha kueleza hapo juu, katika kichwa cha uzi hawa ndugu zetu katika JF jukwaa pendwa la MMU wanayo kesi ya kujibu.
Kesi hiyo inatokana na ukimya wao...
Mm ni kijana (kiume) wa kitanzania niko morogoro. Natafuta marafiki wa kike/mchumba. Aliye tayari tutazungumza kupitia 0629160442. Nina miaka32,nahitaji marafiki/mchumba kuanzia 24-30 kwa wanawake tu.
Siku kwa kweli hazigandi, na hizi za miaka hii ndo kabsaaaaa...sijui zimekuaje kutokana na kizazi hiki kilichopotoka. Miaka ile ilikuwa sisi wanaume tukikaa jioni tunapiga story na kunywa...
Pesa kwenye Biblia takatifu imezungumzwa katika vifungu 2,350 .Pesa ndio humpa mwanadamu heshima,umaarufu na jina zuri.Pesa ni ulinzi na ngao ya kujikinga na mambo mengi ukiwa ungali hai...
Mwanamke mzuri na mwenye hekima na busara siku zote hubeba baraka na mafanikio ya mume wake, Siku zote mwanamke bora humsapoti mumewe kwa hali zote shida na raha.
Tatizo huja wanawake wema na...
Mwanaume umemdanganya mkeo eti sanamu ya Posta umechonga wewe. Unakufa, huku nyuma mkeo anaibuka Anadai eti mumewe ndiye mchongaji wa sanamu.
Aibu... Aibu...... Aibu! Uwongo wetu unawaaibisha wake...
Paka shume ni mwizi wa wake za watu.
Siri yake kubwa ni mkulima kombakomba kwani hachagui jembe la kulimia.
Karibu paka shume wote hujituliza na barmaids na dada poa haswa wakikosa jembe la...
Yaani unakuta kabisa Mwanaume umeshajikoki na umekokika kisawasawa na kuzipangilia vizuri sana Manifesto zako za Kutukuka za Kutongoza halafu unamtokea Demu unamuimbisha kadri uwezavyo hadi...
Ilikuwa kipindi kidogo holiday flani hivi, tumeenda beach na rafiki yangu akiwa na girlfriend wake. Kwenye kutembea tembea tukapishana na watoto wawili wa kike wakali kweli, wakiwa kwenye mikato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.