Mim nkijana wa miaka 25 mkristo, napenda music, kufanya mazoezi elimu yangu degree,...... natafuta mpenzi mwaminifu, mwenye mapenzi ya dhati, mkarimu anayejua nn maana ya mapenzi mungu akijalia...
Japo life ngumu lakini hii imekua too much
Nimezunguka viwanja vingi hii imenishtua sana.Yaani sikuizi wadada tena warembo kabisa wanafakamia balimi balaa.
Kiukweli mdada mrembo unatolewa out...
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiriwa natafuta mchumba wa kuoa aliye na umri kuanzia miaka 23 mpaka 26.
Aliye interest tuwasiliane kama hii post haikuhusu ipotezee tu.
Proverbs 5:3 For the lips of a strange woman drop as an honeycomb, and her mouth is smoother than oil:
Proverbs 5:20 And why wilt thou, my son, be ravished with a strange woman, and embrace the...
ni mara ngapi hujawatendea wenzako haki? Mara ngapi umedanganya? Mara ngapi umekosea? Je, na wewe ulipiziwe kisasi? Wakati unajibu hili inakuwa rahisi kwako kuamua kulipiza kisasi au lah...
Habari za asubuhi JF,
Nianze kwa kusema kwa ufupi sana. Mimi ni mwenyeji wa Arusha katika pita pita zangu nilikutana na binti kwa muonekana ni mzuri na mrembo sana nikampenda akanipenda na kuanza...
Mimi nikijana wa miaka 25 nimuajiriwa natafuta mchumba ambaye ana kazi ili tuweze kusaidiana katika Maisha sichagui kabila wala dini awe na umri kuanzia miaka 20 mpaka 24 kama utakua upon tayari...
Ukiangalia kiambatanisho nilichoweka utacheka lakini ukweli ni kuwa wanaume walio wengi hawapendi kusikia mambo kama haya... Vinginevyo atafanya kama uonavyo katika video hii
Watch and enjoy :)...
Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo. Mmoja aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake akasema " Unadhani familia yako ina matatizo?"
Basi...
Hello guys poleni kwa mihangaiko,
Mimi ni kijana 25 years na kwa hii hali maisha yangu binafsi nimeona niwaombe ushauri wakubwa zangu na wenye experience kuhusu haya maisha ninayoishi.
Ipo hivi...
‘THERE is no love without sacrifice.’ Hakika kabisa. Hakuna mapenzi bila kujitoa kwa kiwango kikubwa (sadaka).
Napita maeneo ya Kariakoo katikati ya Jiji la Dar, nakutana na kina dada na kina...
Habari wana jf.. Ningependa kuuliza swali hili kama title ya uzi inavojieleza?
Je vyuoni uko naweza nikapata mdada ambae tunaweza kuwa na uhusiano wa kimapenz wenye kuwa na kujengana na...
Hi....
Wana MMU, ilikuwa ni mwaka 1999 nikiwa chuo mwaka wa kwanza ndipo nilipo uanza mchezo huu usio faa. Ilikuwa ni mazingira ya nyumbani, nyumba niliyokuwa naishi haikuwa na dari na next door...
N mtoto amemaliza form 4, mama yake alimsomesha mwenyewe baba yake alimkataa kisa rangi na miaka 18 anasema ni mwaka wa 4 yupo mzigoni hapo ni shida tu zinamfanya afanye hivyo namuonea huruma...
Wakuu nilkua na binti tena nlkua nampenda sana kwa moyo Wangu wote
Amenisaliti na kapigwa mimba juu tulikua tumepanga mengi mazuri hapo mbeleni sasa yote hayo yameenda na maji
Am totally...
Wahenga wa kileo nasema wa kileo siyo wale wazamani wanasema " kwa kutumia make- up wanawake wanaonekana warembo na kwa kuwa na pesa kunafanya mwanaume yeyote aonekane mtanashati".
Jamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.