Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,663
Miaka hiyo mwishoni mwa 90's tuko mikoani huko tulikuwa tunawaonea wivu sana watoto wa daslam.
Matukio ya tv ni wao, kwenye radio ni wao, kwenye mizik ni wao, mademu wazuri ni wao..
Kipindi ile tukienda kwa babu kula chrismas huko kibosho waliokuwa wanatoka daslam walikuwa wanaangaliwa kwa jicho la tatu. Hata jumapili tukiwa church wale walikuwa wanapendeza ukiuliza kidogo unaambiwa katoka Daslam.
Kwa kweli watoto wa daslam mlituonea sana kipindi hicho.
Mwisho wa siku niliweka nadhiri lazima na mimi nije daslam siku moja. Na nije kuishi. Kweli bana wakati nipo advance ilikuwa kila siku ni kusali "Mungu unijalie nifaulu na mimi niende daslam"
Kweli bana nikafaulu na vyuo vyote nilichagua vya daslam sikutaka utani kabisa. Hatimaye nikaingia mlimani.
Since then nimemaliza na sasa na mimi nimekuwa mtoto wa daslam.. Mpaka nimepachoka Hahahahahaaa.
True story