Wanaume wengi tunaambiwa tuna upungufu wa
nguvu za kiume lakini chanzo chake utasikia sijui
mazoezi, mara magonjwa ila ukweli ni kuwa
chanzo cha upungufu wa nguvu za kiume ni
wanawake tulio nao...
Habari Zenu.
Nimegundua kwamba uwezo wa mwanaume kufikiri bila ya mwanamke ni finyu.
Ukiangalia ma senior bachelor wa mjni hawanaga lolote zaidi ya nguo zake za kuvaa na kigari Chake basi. ela...
Asante sana,mm Askari Muoga baada ya kufanya Deep and Hard inveatigations nimekuja kugundua siri zifuatazo kuhusu wanawake wanao tafuta wanaume jf
1:Wa mikoani ivyo wana watafuta wanaume wa Dar...
Mimi Nina hali moja hivi yaani Nina uwezo Wa kumsoma MTU mda mfupi saana yaani nikikutana nae tuu au nikishikana nae mkono nikimwangalia namjua yupoje na pia na nia yake ni IPI kwangu na sijawahi...
Katika reseach yangu ndogo niliyoifanya hapa nchini kwetu nimegundua kati ya ndoa 10 basi 8 hadi 9 ni ndoa maslahi...!!
Ndoa Maslahi ni zile ambazo kuna maslahi nyuma ya pazia yaliowapelekea...
Wakuu mpo poa? Sijaingia humu muda tu kutokana na majukumu, Leo ntajitahidi kua very brief nsiwachoshe
Ni hivi kuna binti nilikutana nae pale house of wine kama mwezi umepita, ile kumuona tu I...
Uuuh show me.... show me..... show me..... uavyo-dance oooh.....
Raha sana asikwambie mtu yuuhuuuu.
Woow....... I love the songs.... Davido amekonga nyoyo yangu hasa akipaza sauti hapo...
Habar wana jf ? .Mim ni mwanafunz wa chuo kikuu hapa dar .mwaka Jana nilikutana na bint ambaye anaishi mazingira karib na nilipopanga nikamwaproch kimatani akanikubalia.tukaendelea na mahusiano...
ni muda mrefu sana nimekuwa nikifuatilia comment na post zake huyu member anayejiita Mbwa dume
Sio siri nimevutiwa sana natamani kumfahamu kiundani ikiwezekana awe rafiki yangu tu
Tumezoea watu...
Habari za asubuhi wapendwa wana MUM.. ..
Leo nawasimulia nilichokiota usiku wa leo si kuwa mnitafsirie bali natamani nikilala leo iendelee ilipoishia leo. Naomba nianze simulizi kama ilivokuwa...
Kama mada inavyojieleza hapo juu.
Usafi kwa mwanamke ni kitu cha msingi sana kwa sababu usafi hupelekea wanaume tuwe na hamu ya tendo la ndoa mara kwa Mara pale unapokutana na mwanamke msafi...
Nasikitika Mods Kufuta Uzi wakwanza lakini Nimeandika tena huu Naimani wataheshimu
Habari zenu wakuu Tatizo la utasa na nguvu zakiume uume mdogo zime wakumba wengi na kusababisha watu kukosa...
Hili swala nimenitokea mara kadhaa pia na kulisikia kwa marafiki zangu sana.. Unapokua na dem siyo mke lakini muelewe hivyo.. Unaweza mwomba tuonane akakuambia Nauli hana ukatuma anakuja mnakula...
Wana jamvi habari za jioni?
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miezi sita, nilimpata mchumba kupitia Love Connect. Tumekuwa na mahusiano mazuri tu na tulipanga hata kutambulishana kwa wazazi...
WADAU NAULIZIA KAMA KUNA MTU ANAIFAHAMU MASSGAE YA EBONY TOUCH PARLOUR. NILICKIA KUA IKO KITUO CHA GENERAL TYRE PALE MSASANI BUT NIMEULIZIA CJAPAPATA,,KHY KAMA KUNA MTU NAIFAHAMU AU KAMA KUNA...
Jamii ya watanzania tumekuwa na tabia za kizungu kuna biashara imezuka mtu anakuja kwako ama mnaenda guest ama hotel ama kuna saloon special za kukufanyia massage kwa bei ya 40,000/= up to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.