Kijana wa kiume above 18

Kijana wa kiume above 18

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,378
1. Unakaaje kwa dada yako..Mbaya zaidi kwa dadako mwenye mchumba au aliyeolewa..huoni aibu?
2. Unampigiaje simu shemeji yako (aliyemuoa dada yako) na kuanza kucheka cheka...
Acheni mambo ya ajabu! Umezaliwa mwanaume ili ujitambue..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] baba yamekukuta hapaaaaaa.

Pole.
 
Nmeandika vijana wajitambue
 
Hahahaha kweli haifai kabisa....Vijana tujitambueni kuishi kwa dada aliyeolewa sio inshu..!
 
Wewe chukia hadi upasuke acha watu tujinafasi kwa dada zetu
dc21e6b40434899fcbbbe98ec4ceb283.jpg
 
1. Unakaaje kwa dada yako..Mbaya zaidi kwa dadako mwenye mchumba au aliyeolewa..huoni aibu?
2. Unampigiaje simu shemeji yako (aliyemuoa dada yako) na kuanza kucheka cheka...
Acheni mambo ya ajabu! Umezaliwa mwanaume ili ujitambue..
SABUNI YA MAGADI.
INA POVUUU.
 
Back
Top Bottom