Bado hawajanitosha, ongezeka na weweMrejesho vipi mkuu.
Au umepata maadui tu
Urafiki upi kwanza unahitaji.
Monilite ndo jina la kabila gani we ke au me?Naitwa Monilite,
Natafuta marafiki wa jinsia zote wa kushauriana mambo tofauti katika maisha ya kila siku
Sichagui kabila
Umri 26 - 30
Awe anapatikana dar es salaam
Alie tayar aje PM
Mkuu akikujibu fanya kunitag.Monilite ndo jina la kabila gani we ke au me?
Unatafuta marafiki au rafiki?Naitwa Monilite,
Natafuta marafiki wa jinsia zote wa kushauriana mambo tofauti katika maisha ya kila siku
Sichagui kabila
Umri 26 - 30
Awe anapatikana dar es salaam
Alie tayar aje PM
Mchaga, keMonilite ndo jina la kabila gani we ke au me?
MarafikiUnatafuta marafiki au rafiki?
Nakuja huko pmMarafiki
Mm hapa njoo pm nadhani hutajuta kumfaham [HASHTAG]#Mondray[/HASHTAG]