"Nifanye unavyotaka nimevunja swaumu kwa ajili yako" - Muuza Chapati

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,098
Baada ya kukuta chapati zimeisha kwa yule Mama choreko wa kinyiramba nilielekezwa mtaa wa pili ambako nilienda na kukuta chapati haswaa zikichomwa huku wateja wenzangu wakingoja, ilibidi niache oda na kuahidi kurudi baada ya dakika kadhaa kisha nikaenda kijiweni kupiga stori kadhaa na washkaj ili muda usogee nikute chapati zikiwa tayari.

Baada ya saa moja hivi nilienda kwa Dada muuza chapati kupitia chapati zangu nikakuta ameshamalza kukaanga yupo ndani.mara aliponiona tu alitoka na chapati kwny gazeti akawa anakuja kuniletea.

Sasa akiwa amevalia kanga na kitop nilimwangalia mara mbili kisha nikashtuka kwa jinsi alivyojaaliwa nyonga huku mshale umesimama saa sita hakika ulikuwa haujastiriwa na braa.hakika ule mshtuko wangu ulimfnya agundue tayari nimeyumba basi akawa kama kaingiwa aibu.

Baada ya kunipa zile chapati huku ametazama chini nilimpa noti ya elf tano nikamwambia chenji ntaichukua siku iliyofuata.zikapita kama siku nne hivi sijachukua ile chenji kwa makusudi nikiwa natafakari jinsi gani malaika mkata kiu atakavyonyoosha mkono juu ya huyu binti niweze kupona japo nafsi itulie.

Siku hiyo ya nne jioni natoka kwny mihangaiko yangu nikakutana nae ana ndoo mbili akanisalimia na kuniulza kwann cjafata hela nikamwambia nilisahau kisha nikamuuliza anatoka wapi akajibu alienda kuchota maji ya DAWASCO ila kwa bahati mbaya alikuta yamekatika.nikamuonea huruma nikamwambia tuongozane akachote kwny tank maji ya akiba yaliyopo kwangu angalau yamstiri kwa cku moja.Dada hakuwa na neno tukaongozana.

Tumefika akachukua maji halaf akasema hela ataleta kesho yake saa tano mchana mara tu atakapomalza kuchoma chapati. Kesho yake mida ya saa sita nikiwa nimekaa nasubir product list kutoka kwa bosi wangu wa sales ili tusafir kwenda Arusha mara nikaitwa na mtoto wa jirani kwamba kuna mgeni kaja.ile nmeenda nikamkuta mgeni amekaa akanisalimu kisha akanipa sh.4600 chenji yangu ya chapati.

Nikamsogelea nikamshukuru kisha nikamuulza kama kaolewa akakataa huku kainama hawez kuniangalia...Nikawa kama namshika taratibu na yy akaanza kutoa ushirikiano.baada ya kukurukakara tukajikuta tupo kama Adam na hawa walivyokuwa kisha binti akawa anataka Babu juma ampande...

Looo mara Babu juma akasinyaa nikawa nawaza nimepatwa tatizo gani? Binti akawa analazimisha huku akitamka "nifanye unavyotaka nmevunja swaumu kwa ajili yako"... Aibu na fedheha ikanijaa mpka binti wa watu akaondoka...

Kesho yake nikaenda hospital kuchunguzwa tatizo nikaambiwa ilikuwa ni mshtuko tu wa mishipa sina tatizo..

Nikaambiwa nikajaribu tena ikabidi niende buguruni kulipia na kweli Babu juma akasimama na akachapa fimbo kama kawaida.
 
Ndoto nyevu za awamu ya 5,itakua kweli kapewa Rungu huyu jamaa sio kwa ndoto hizi!!
 
Acha kuchezea Imani za watu, kwani bila kuhusisha imani tena kwa dharau hutopata umaarufu!

Nakujisifia maji ya Tank, muuza chapati iweje aliyekupa ndio alowanyima hao unao wadharau KENGE ww

Elimu ikusaidie na kuwasaidia wengine, pesa makaratasi mafukara hawakuomba "tusiombe kuwa na viongozi kama hawa"
 
  • Thanks
Reactions: OTG
Mkuu kanali mstaafu nduguye na kanali gadafi na mjomba wa Kanali Namuli
siku nyingine andika kwa kufata aya ili uzi uwe na utamu katika usomaji na sio kuandika
kama "programing language" .
Hapa nime kopi uzi wako na kuuwekea aya ili usomeke vizuri.

Baada ya kukuta chapati zimeisha kwa yule Mama choreko wa kinyiramba nilielekezwa mtaa wa pili ambako nilienda na kukuta chapati haswaa zikichomwa huku wateja wenzangu wakingoja, ilibidi niache oda na kuahidi kurudi baada ya dakika kadhaa kisha nikaenda kijiweni kupiga stori kadhaa na washkaj ili muda usogee nikute chapati zikiwa tayari.baada ya saa moja hivi nilienda kwa Dada muuza chapati kupitia chapati zangu nikakuta ameshamalza kukaanga yupo ndani.

Mara aliponiona tu alitoka na chapati kwny gazeti akawa anakuja kuniletea.sasa akiwa amevalia kanga na kitop nilimwangalia mara mbili kisha nikashtuka kwa jinsi alivyojaaliwa nyonga huku mshale umesimama saa sita hakika ulikuwa haujastiriwa na braa.hakika ule mshtuko wangu ulimfnya agundue tayari nimeyumba basi akawa kama kaingiwa aibu.

Baada ya kunipa zile chapati huku ametazama chini nilimpa noti ya elf tano nikamwambia chenji ntaichukua siku iliyofuata.zikapita kama siku nne hivi sijachukua ile chenji kwa makusudi nikiwa natafakari jinsi gani malaika mkata kiu atakavyonyoosha mkono juu ya huyu binti niweze kupona japo nafsi itulie.siku hyo ya nne jioni natoka kwny mihangaiko yangu nikakutana nae ana ndoo mbili akanisalimia na kuniulza kwann cjafata hela nikamwambia nilisahau kisha nikamuuliza anatoka wapi akajibu alienda kuchota maji ya dawasco ila kwa bahati mbaya alikuta yamekatika.nikamuonea huruma nikamwambia tuongozane akachote kwny tank maji ya akiba yaliyopo kwangu angalau yamstiri kwa cku moja.

Dada hakuwa na neno tukaongozana.tumefka akachukua maji halaf akasema hela ataleta kesho yake saa tano mchana mara tu atakapomalza kuchoma chapati. Kesho yake mida ya saa sita nikiwa nimekaa nasubir product list kutoka kwa bosi wangu wa sales ili tusafir kwenda Arusha mara nikaitwa na mtoto wa jirani kwamba kuna mgeni kaja.ile nmeenda nikamkuta mgeni amekaa akanisalimu kisha akanipa sh.4600 chenji yangu ya chapati.

Kisha nikamsogelea nikamshukuru kisha nikamuulza kama kaolewa akakataa huku kainama hawez kuniangalia...nikawa kama namshika taratibu na yy akaanza kutoa ushirikiano.baada ya kukurukakara tukajikuta tupo kama Adam na hawa walivyokuwa kisha binti akawa anataka Babu juma ampande...looo mara Babu juma akasinyaa nikawa nawaza nimepatwa tatizo gani? Binti akawa analazimisha huku akitamka "nifanye unavyotaka nmevunja swaumu kwa ajili yako"...aibu na fedheha ikanijaa mpka binti wa watu akaondoka...kesho yake nikaenda hospital kuchunguzwa tatizo nikaambiwa ilikuwa ni mshtuko tu wa mishipa sina tatizo..nikaambiwa nikajaribu tena ikabidi niende buguruni kulipia na kweli Babu juma akasimama na akachapa fimbo kama kawaida.
 
Kwa nini usiongelee izinzi wako bila kuingizia dini za watu?
So, childish
 
Back
Top Bottom