Ukizini tu unawekewa alama usoni!

leah2

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
584
1,437
Nawaza tu kwa sauti, kama ingekuwa ukizini tu unawekewa alama usoni , nyuso zetu zingekuwa na alama ngapi?

Binafsi ningekuwa na alama chache sasa.

Kati ya wanaume na wanawake nani angekuwa na salama nyingi?
 
Mi nahisi ungetoa hiyo alama ukaweka kitobolewa.nahis tungekuwa tunakutana na vyandarua mtaani vikitembea.namsaidia mleta uzi kuwaza
 
Mkuu nina wasiwasi ungekua unamkaribia huyu.
 
Attachments

  • alama.jpg
    alama.jpg
    9.8 KB · Views: 33
ingekuwa poa kama uume jinsi unavyotumika mara nyingi ndivyo unavyoisha kama vile ufuto wa penseli.
 
Je kama ingekuwa kabla ya kugegeda unaichonga kama penseli, wengine si wangekuwa wamechonga mpaka ufutio!!!! kwi kwi kwi kwi kwi kwi!!!
 
leah2 huyo kwenye avatar ni wewe?

Mungu aliumba.

Nawaza tu kwa sauti, kama ingekuwa ukizini tu unawekewa alama usoni , nyuso zetu zingekuwa na alama ngapi?

Binafsi ningekuwa na alama chache sasa.

Kati ya wanaume na wanawake nani angekuwa na salama nyingi?
 
Nawaza tu kwa sauti, kama ingekuwa ukizini tu unawekewa alama usoni , nyuso zetu zingekuwa na alama ngapi?

Binafsi ningekuwa na alama chache sasa.

Kati ya wanaume na wanawake nani angekuwa na salama nyingi?
Mimi nisingekuwa na ngozi... alama zingemaliza uso wote na nyingine zingehamishiwa mgongoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom