Sababu zinazotufanya wanaume kuonekana muhimu kwa wanawake

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
WANAUMEEEEE!!!! itkieni EEEEEEHHHHH kwa sauti zetu nzito mungu alizotupa.
Mwanaume ni mwanaume kiumbe amabacho mungu alikiumba kwa mfano wake, Hutakiwi kulemaa lemaa maana hizo nguvu na akili ulizopewa nizawadi tosha Muumba aliyotuachia.

Leo ntakuwekea hapa sababu ambazo zinadhiirisha wazi kabisa sisi ni zawadi iliyotoka kwa Mungu kwa hawa wanawake:

1.Wanawake wanategemea sana wewe ndio uanze move ya kwanza hata kama ikiwa wazi wanakupenda ukweli ni kwamba akilini mwao wameshajijengea mwanaume ndo aanze kupiga moves, So mwanaume kama umejibanza kwenye kona na miwani mikubwa na toothpic mdomoni umejibanza kwenye kona utegemee wao ndo waanze move ya kwanza jihesabie wewe haupo kwenye kundi letu.

2. Wanawake wanahitaji ndoa kuzidi sisi tunavyoihitaji lakini bado hawawezi kuomba ndoa wazi wazi kwetu maana pinti ya kwanza nimeweka wazi vidume ndo tunapiga moves.

3.Wanawake wanategemea ulinzi kutoka kwa mwanaume ikiwa ni ishara ya kujaliwa, Ulinzi hapa sio sic pack tu ila hata pesa, So hawa wanawake hadi wajihisi wanajaliwa basi ewe mwanaume mwenzangu piga kifua chako kama cha simba hakikisha unawalinda.

4.Hata tukiwaoa wanawake bado wanategemea sisi tuwalishe, tuwavishe, tuwalinde, n.k. Usilalamike sana kwamba salary ya wife hachangii, Ndiyo nature yao hawa, Tukiwaoa wanaona neema imeshuka maishani mwao na wanaume zao ndio wataprovide kila kitu.

5. Mwanaume ana mchango mkubwa sana katika kumzalisha mwanamke mtoto wa kike au wa kiume, Sisi tuna mbegu zinazoweza kuleta mtoto wa kike au wa kiume ila wao wana mbegu ya kike tu....Kama hujanielewa rudi darasa la saba jifunze xy na xx

6. Mgegedo kwao ni kitu muhimu sana, Siku ya gem huwa anatamani sana umsugue vyema lakini kabla ya tendo atajifanya kaama kakuonea huruma tu ama anakufanyia favor, Sisi tunaweza kuwa na guts za kuonyesha wazi wazi tunapenda sex ila hawa wanawake wana appetite kubwa sana ya kufanya tendo lakini hawaonyeshi wazi wazi kama sisi, Mwanaume ukipiga bao unachoka umeenda mbali ni bao 3 upo hoi lakini mwanamke anaweza akatoka hapo kwenda kuongezewa nyingine na wanaume wawili tofauti, Ushahidi hata humu j.forums upo maana kuna posti vidume tunaposti jinsi ya kuwafikisha kileleni.

7. Wapo tayari kumtumzia bikra mume wao huko mbeleni ikiwa ni ishara ya kusifiwa kuwa walijitunza vyema kwenye usichana wao, Mwanaume hata agegede wangapi bikra yake haionekani tofauti na ilivyo kwa mwanamke ambaye bikra yake kuigundua ni rahisi sana
 
Eeeee bhn ee,!!!!! The father of Genetic (George mendelee) the father of electrolysis(Michael Faraday) father of these.... and that is only the men,it means men is more special, hata uwezo w ku reasoning is more efficient than women,....
.. Nobody last us(men) nobody after us...
 
Back
Top Bottom