Baby jogging,Baby Jogging

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Karibu wadau wote tulio gongewa wake zetu,wachumba zetu,wadogo zetu,dada zetu kutokana na mchezo wa jogging
Huu mchezo kuna mijitu kazi yao ni kutafuta mademu tu kwenye jogging ,linajifanya kocha la viungo kumbe jibakaji tu
Yani usimuache mke wako anakimbia jogging bila ww
 
Kama mtu hajielewi ,hajielewi tuu.... Hata akienda kwa muuza genge atamla
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom