Kwanini mapenzi yanakuwa magumu..

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
17,280
16,556
Hey lo!
Skunyingi sijaandika small thread ila nipo buzy na story ya on my high horse
Story: On My High Horses ...

Juzi kati nikatua Kenya buana, Mombasa mojaaa si unajua tena mambo ya script writing, nikapata a fan who read my shit religiously in Kenya,
Hakujua kama ni mimi mpaka alipotambulishwa na mwenyeji wangu!

Thank you for the Love Kenyans! Always here for ya! Ahahaha

Basi huyu fan akaniambia, hii MP we sitisha stori kwanza naomba waulize waTz wako na wa Kenya kwanini wanaume wa Kitz na Kikeiii wanafanya mapenz kuwa magumu jamaa!

Fan: me nilikuwa na mpenz wangu mtz, alikuja kikazi huku kenya tukaanza vizuri tu, mapenz machanga yakapanda mpaka honeymoon mpaka middle stage tukaaminiana tukaanza mechi, mechi mechi na mpira tukapima na kupima tukapiga mpaka kavu
Baada ya miezi 6 nikasema hapa ndo hapa nikawa sasa nampa show za kibabe, show za kimalaya nampa kila kitu, mbele, nyuma, katikati yani show nzima ya kimalaya nikampaa

Baada ya hapo, huyu bwana akaleta mapozi, mara sms hajibu mara simu hapokei eh nikajua labda karudi Tz nikaja kumwona kwenye mall mwenyewe kumsalimia namwuliza vipi ananijibu kama stranger, baada ya hapo akaondoka sikumwona tena yule bwana

Sikuelewa Money Penny, nikwamba nilimpa show za kuvunja dunia mapema sana au ni nini nilikifanya?

Kawaida nikimpaga mwanaume hii show huwa haondokii ila huyu mara 3 tu keshakimbia hao wanaume wa Kitz vepee?! Mbona hawaeleweki? Ukitizamia me mwanaume mwenyewe nilishampenda na kumweka moyoni

Money Penny: Tobaaaa hilo ndo tatizo mami!

Fan: Mbona mapenz na wa Tz wanapenda kuyafanya kuwa magumu?!

Eti wa Tz mliopo JF, mbona mnafanya mapenz kuwa magumu?! Hamjui mna represent vibaya taifa lenu la Tz?!

Show ya kimalaya jaman mtu akipewaga habanduki ivooo usiombe ukutane nayo, watz sheda ipo wapi?

Mi nafikiri ni kwa sababu unakutana na mtu mzima mwenzio na kila mtu ana makuzi yake na mitazamo tofauti juu ya mapenzi.yan kumtaka mtu awe vile utakavyo.ndivyo ninavyohisi mimi lkn
 
Mi nafikiri ni kwa sababu unakutana na mtu mzima mwenzio na kila mtu ana makuzi yake na mitazamo tofauti juu ya mapenzi.yan kumtaka mtu awe vile utakavyo.ndivyo ninavyohisi mimi lkn
Nikweli lakini
Au kama hakupenda angemweleza

Au kakutana na dozi kabambe akaona hapa akikaa anaweza akawa team sibanduki!

Ahahahahahaha
Shikamoo show ya kimalaya!
 
Sio yanakuwa magumu,

Kwa kifupi huyo jamaa aliona kaingia cha kike
Kwa sababu aliona mtu anajuwa mambo !mengi akastuka akahisi huyu mwanamke kakubuhu na huenda ana wanaume wengi sana,
 
MP kama yupo huku JF mwambie ani PM nirudishe heshima ya nchi

huyo jamaa itakua kunashida mahali mbona watu wanabahati iv alaf wanazichezea hizo show ndio nzur
 
Nikweli lakini
Au kama hakupenda angemweleza

Au kakutana na dozi kabambe akaona hapa akikaa anaweza akawa team sibanduki!

Ahahahahahaha
Shikamoo show ya kimalaya!
Tatizo ni kwamba si kila mwanaume anapenda show za kimalaya mkuu.
Kama jamaa alipiga na yeye hizo show za kibabe sijui..nahisi alijiuliza maswali haya,,hivi kama mimi kanipa show namna hii na sijahitaji vipi akipatikana mwenye anahitaji itakuwaje??atakuwa wangu tena?na hapa sijamuoa je nikimuoa siku nikishindwa kusimamia vidole si ndo ishakula kwangu??

Wenye show za kibabe mara nyingi si wife material mkuu.hahahahaha jamaa kaona anapelekwa jehanam mapemaaaa.mtz wa watu kayeyaaa..hahahahaaha

Wanaume bhana wakati mwingine unaweza kujua anataka hiki ukampa kumbe ndo unajitafutia tiket mwenyewe.shikamoon wanaume

Maskini mkeii wa watu loh..mpe pole tu.mapenzi kizungumkuti.
 
Cha!
Watz hamjisomi ndio maana nimeolewa zangu na Taifa lingine
Maana mnasumbua balaa
 
Sio yanakuwa magumu,

Kwa kifupi huyo jamaa aliona kaingia cha kike
Kwa sababu aliona mtu anajuwa mambo !mengi akastuka akahisi huyu mwanamke kakubuhu na huenda ana wanaume wengi sana,
Sasa wanawake wasipojua show mnawadharau na kuwaambia wakafundishwe

Wakishajua mnawakimbia
Nyie wa Tz vepee?!
Kuweni kama mataifa mengine basi
 
Ivi mtu alie toka sikinde uko anacho jua yeye ni kusema lala nikulenge uje umpe show ya kimalaya yani zile mpaka una .....
izo izo unazani ata enjoy au atahisi kakutana na malaya haswa?tena ata enda kuadisia nimekutana na malaya mnyonya damu muwe mnasoma alama za nyakati uko na mtu wa aina gani kweny show,kuna watu awtaki mwanamke anae jishughulisha wakati wa mechi wanataka utulie kama kuku lazima tujue tumetafautiana si wengine tunapenda wasio tulia ndo raha yetu so kazi ipo
 
Tatizo kampa vyote adi Mombasa yake. sasa sisi watz hatuwezi kuoa mwanamke anayetoa Mombasa.
Yeye awape mbele kati na nyuma hao Wakenya ndo wanawezana
 
Ivi mtu alie toka sikinde uko anacho jua yeye ni kusema lala nikulenge uje umpe show ya kimalaya yani zile mpaka una .....
izo izo unazani ata enjoy au atahisi kakutana na malaya haswa?tena ata enda kuadisia nimekutana na malaya mnyonya damu muwe mnasoma alama za nyakati uko na mtu wa aina gani kweny show,kuna watu awtaki mwanamke anae jishughulisha wakati wa mechi wanataka utulie kama kuku lazima tujue tumetafautiana si wengine tunapenda wasio tulia ndo raha yetu so kazi ipo
Kwaiyo unataka waliokaa kama gogo sio?
Makubwa kweli wanaume mnatofautiana
 
Back
Top Bottom