Wanawake wanatuchukulia poa wanaume wapole.

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,430
3,531
Mfungo mwema kwa ndugu zetu waislamu.

Niingie kwa mada bila kuchelewa kuna utafiti nimefanya kupitia mimi na marafiki zangu nimegundua wanawake wanatuonea sana sisi wanaume wapole hasa kwenye ishu ya ngono ukitongoza utazungushwa weeeh au uambiwe mpaka ndoa kabisa. kwa kweli hili jambo ni kero kwangu na limenitokea kama mara nne hivi unaambiwa mzigo mpaka ndoa na hapo hela zako anaomba kama kawaida.
hivi inakuwaje watu wakuchezee huko bikira huna uje utusumbue watu tuanze kukusubiria saizi kwanini usingebana miguu toka mwanzo.
nimekuwa na sera makini sasa ya kutonyenyekea mwanamke naona sasa wananielewa na kupewa tunda kwa wakati tofauti na miaka ya nyuma nilikua mtakatifu muno. ukinikubali jiandae kunipa tunda ukisema hadi ndoa off you go.

Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mwanamke kama sio bikira hutakiwi kumsubiria hadi ndoa ukifanya ujinga huo jua kuna watu wanamkaza tu wewe ni mpenzi mtazamaji chukua huu ushauri njoo nishukuru baadae.
 
Vip na sis wanawake. Wapole mnapotuambia tunapoteza muda kusubir was kutuoa ni bora tungeenda utawan maan huko ndiko waliko waume zetu, sistasahau hii kauli
lol pole sana mwanamke mpole unafaa kwa kila kitu usikate tamaa.
 
Me ni mpole ila ninapogegeda upole wote unaisha sijui kwa nini, wataamu embu nisaidieni kwa hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom