Habari za mchana wana jf,
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29, Nipo kwenye ndoa tayari, ila mara nyingi sana sina hamu kabisa na tendo la ndoa (hisia za kufanya tendo)
je, hii husababishwa na nini na nifanyeje ili nami nifurahie tendo
natanguliza shukrani