JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 476
Nilikua na mahusiano nae kama miezi 18,nilimfanyia mambo ya kumfurahisha sana kwan mm ni mcheshi na vituko vya kufurahisha all time,
Tuliachana nae nikaenda safari ya mbali kutafuta shekeli ili nirudi nichukue jiko,nilikaa huko mda kidogo mawasiliano yakawa yamepotea kwan line ilipotea na kitambulisho sikua nacho cha kutengeneza nikawa naishi kwa matumaini tu.
Huku nyuma nilivyotoa kisogo tu wazazi wakamkomalia mtoto wao kuwa aolewe kwan wadogo zake wameolewa na yeye ili aheshimiwe basi aolewe basi akaolewa
Punde nikarudi toka mgodini nakuta kamanzi kameolewa na kana mtoto mmoja nikakalaumu kuwa kamenidhulumu penzi kakasema nilikua sipatikani wazazi walikashinikiza kaolewe kwan umri unamtupa mkono wadogo zake wote wameshaolewa
Nikamwambia swadakta basi kaa ukijua mm bado nakupenda na siwezi kukuacha kamwe na hautokua na amani daima kwan umenidhulumu penzi kakasema sasa mm nifanyaje jaman?jamaa anawivu sana akigundua atamuua nikamwambia mm naheshimu ndoa yako siwez kukuharibia aidha kukupigia simu mara kwa mara na kukutana hapana bali tunapanga safari tunakutana mbali kisha kila mtu anarudi kivyake akaniambia kama ni hivyo sawa ila subiri nikuze mtoto kidogo
(yote haya nilikua namsoma akili zake)nimeogopa hata kuoa
Wazee kuweni makini na mwanamke je unajifunza nini kuhusu hili?