Kwani unaavyosema kukupiga yani ni yule anaetaka umuhonge sana? Ama anakuibia??kwangu mimi, ni rahisi kumsamehe mpenzi anaye cheat kuliko anayefuja au kukupiga pesa.
Kwako kipi ni rahisi?
Nikutane na mpiga pesa ila msaliti kwangu; NOOOOOOO! Uligawe tunda langu bureeee. Sio kweli. Nije kuchovya walivyochovya wengine. Noooooo please.
Akiosha inakuwa mpya, by the way, tunakutana na wapenzi wachache sana, almost 0.01 percent ya ambao hawajachovywa wala kuchovya.
It makes no difference.