Mchumba anahitajika hapa

sergio 5

JF-Expert Member
May 22, 2017
9,086
10,015
Mimi ni kijana wa kitanzania ninatafuta mchumba, mimi ni mfanyabiashara wa madini nina pesa, nyumba, gari na kila kitu ambacho mtu anapaswa kuwa nacho katika maisha, tatizo tu natafuta mchumba aje tufurahie maisha mimi ni tajiri, sina vigezo kama wengine dini yeyote lakini awe mdada asiwe na roho mbaya yeyote.

Atakayeguswa na hili andiko aje PM.
 
mm ni kijana wa kitanzania nina tafuta mchumba mm ni mfanyabiashara wa madini nina pesa, nyumba,gari na kila kitu ambacho mtu anapaswa kuwa nacho ktika maisha tatzo tu natafuta mchumba aje tufurahie maisha mm ni tajir. sina vigezo kma wengne dini yeyote akn awe mdada asiwe na roho mbaya yeyote atakaye guswa ha hili andiko aje PM


Chezea Madini hahahahahahahahahahahahahah
 
Mkuu hapo nimeshindwa kuelewa. Unahitaji mke au partiner wa biashara????

Anyway subiri wakupm na nakutakia mafanikio mema mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom