Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 22,797
- 50,995
Nimekuwa nikiona mara kwa mara, unakuta akina dada wamekaa sehemu wanapiga stori au wanatembea lakini ghafla akapita mdada mwenzao basi akishawapita lazma wageuke wamuangalie.
Nimezoea kuona sie jinsia ME tukigeuza shingo zetu na kushangaa maumbile ya wadada, Je nyie akina dada huwa mnageuka kushangaa nini kwa wanawake wenzenu?
Nimezoea kuona sie jinsia ME tukigeuza shingo zetu na kushangaa maumbile ya wadada, Je nyie akina dada huwa mnageuka kushangaa nini kwa wanawake wenzenu?