Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekutana na taarifa ya Michele Obama, na tatizo la Sonona. Hii Chini ni taarifa hiyo. "Ninaamka usiku wa manane kwasababu nina wasiwasi juu ya kitu fulani au nawaza kuhusu mzigo mzito...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Msaada wapendwa, ninaishi na binti, ni ndugu. Alikuja kuishi kwangu baada ya kusumbua sana kwao kuhusu shule, hata hivyo hapa kwangu shule ilishindika baada ya kushindwa mitihani mingi. Ikafikia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumai hamjambo wakuu. Miongoni mwa mambo yanayotufanyaga wanaume tuzione safari ni nyepesi hata kama tuendako ni mbali ni kukaa karibu na mtoto wa kike, binafsi nikisafiri hua napenda...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
Kwa wale wenye uzoefu na mnatambua saikolojia ya mwanamke ivi ikifikia hatua ukagundua ameshakuchoka na ameshapoteza interest na wewe ni nini cha kufanya akiwa mke au mchumba? Hebu tupeane mbinu...
4 Reactions
31 Replies
12K Views
Jumuiya ya Afrika Mashariki kiasili inaundwa na mataifa matatu Tanzania Kenya na Uganda. Hizi nchi tatu zinashabihiana kwa mengi lakini sio yote. Kwa mfano Uganda mojawapo ya makabila yake yana...
9 Reactions
58 Replies
10K Views
Kwenu wanawake, hakuna dhambi mbaya kabisa kwenye ndoa kama kuvunja uaminifu. Dhambi hii haiponi hata kama mumeo atatangaza msamaha, ndio utakuwa umejiweka mahali pabaya mwenyewe. Fanya yote...
16 Reactions
51 Replies
5K Views
Nimeyumba kidogo kiuchumi toka mwezi wa 1. Kutokana na Corona na sehemu nyingi duniani kuyumba kiuchumi pia. Binafsi huwa nanunua kila kitu mwisho wa mwezi na kuweka nyumbani, kila kitu kwa...
29 Reactions
224 Replies
22K Views
Ni mtoto wa shangazi yangu alimaliza form 6 mwaka jana, alipata chuo cha SAUT hapa Mbeya hakukipenda so kabaki hapa kwangu na tayari kakubaliwa kuanza mwaka huu chuo anachokipenda Sasa ishu...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Habarini za wakati huu wadau..Hopefully ni nzuri kabisa.. Bas leo nna jambo muhimu la kuwaasa wale wote wenye watoto,mimi bado mdogo ila na sina familia ila kwa hiki nilichokishuhudia ata nikiwa...
9 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari ndugu zanguni. Mwaka 2017 nilibahatika kupata milioni tatu katika harakati zangu. Kuna kaka yetu ambae baba alimzaa nje ya ndoa. Hakuwahi kuja kwetu mama yake hakupenda Kabisa tujuane...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Wakuu bila shaka hamjambo! sihitaji kupoteza muda wenu ngoja niende kwenye mada. Katika kitaa nachokaa kuna mshikaji mmoja ni mtu wa kuchukua sana wadada haijarishi ni aina gani yaani jamaa ni...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Watuuu! Mukuje mukuje niwape story yangu NILITONGOZWA, NIKAKUBALI NA KUPEWA CHAKULA Kuna mhubiri mmoja alisema wanawake walipewa moyo mgumu mno yaani anaweza kutongozwa lakini akakataa. Yaani...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
wadau kwa wale walio angalia tamthilia ya tausi unakumbuka hawa. Kibibi, Ashina, Ondieki, Bw. Sango, Zinzi, Dk. Kurya. Bi. Popo, Master Sugu, Eboso, Sikitu, Mponda,Mjuba Watoto wa mzee kasri...
8 Reactions
53 Replies
22K Views
Toa maoni yako, wew kama hakimu huyu jamaa kama alimpiga mpenzi/mke wake ungetoa hukumu gani?
2 Reactions
45 Replies
7K Views
Muda mchache, nimelushiwa video clip, ya dada mmoja akiwa ana mwagika damu nyingi sana, yaonyesha alikuwa amekatwa na kitu kama kisu shingoni, na uhai umetoweshwa. Katika kujiukiza, hii kitu sio...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekuwa na propaganda nyingi sana kuhusu upungufu wa Nguvu za kiume na tiba zake.na kumekuwa na tafsiri nyingi sana za watu juu ya upungufu wa nguvu za kiume. Wapo wanaoona kwamba kukojoa mapema...
4 Reactions
17 Replies
6K Views
Wakuu naomba kujua kati ya mwanamme ambaye hajafanya mapenzi kwa muda mrefu vs anayefanya mazoezi ya viungo kila siku ni yupo anasukuma pampu vizuri wakati wa kula tunda au kugegeda? Mfano...
1 Reactions
104 Replies
26K Views
Uaminifu ni msingi wa mapenzi, wako wanaodhani mapenzi yanaweza kushinda kila jaribu lakini ukweli ni kwamba bila uaminifu mapenzi hayana afya njema 1. Usimfiche mwenza wako hali yako ya...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
Mara nyingi nimekutana na threads mbalimbali hapa MMU ambazo wahusika wamekuwa wakidai kuwa aidha wana tatizo la kuwahi kufika au kuchelewa kufika. Threads za aina hiyo zimeendelea kumiminika...
6 Reactions
20 Replies
13K Views
Habari wadau, kuna binti nipo kwenye mahusiano naye na amenizalia mtoto. Sasa kajipangia na mahari kabisa kwamba nisipo toa hiyo pesa bora tuachane. Sasa najiuliza kweli hapo kuna mapenzi?
1 Reactions
4 Replies
970 Views
Back
Top Bottom