Mwanamke anasema nipige niue: Ingekuwa wewe ni hakimu, ungetoa hukumu gani kwa huyu mwanaume?

Wanawake huwa wanaangalia wanaume wa kufanyia hii michezo, huyo yupo na mke mwenzanke ni lazma amchezee
kabisa mkuu
Huyo unampa ngumi moja ya uso akiona zile nyota nyota hatakaa harudie kutamka hayo maneno mbele yako.
na anaonekana hajawahi pigwa wala kishuudia kipigo

unampa moja ya mfupa wa pua anatulia tuli😆😆😆
 
Kama mi ndo hakimu ningeagiza uchebe aletwe tutatue tatizo watu tukafanye vitu vyengine tujenge taifa..😜
Kwakweli Sheria zinazowatetea wanawake hazina usawa, zinaumiza upande wa pili, haziangalii situation au mazingira ya lilivyotendeka.
 
Mmmh huogopi kufungwa
Si kasema umuue jmani ama!

Hivi kwa mdomo huo kweli utaacha kuchezea ndoo kweli😂😂

Na mwanamke akishafikia huko ujue hata mbele za watu anaweza kukudhalilisha tu.
Yeye si kaamua kumchokonoa shetani😅😅

Ndoo,vinazi,mateke kama ya mjeda mdomo unafunga wenyewe safi kabisa bila tabu 🤪🤪


Binafsi naogopa kupigwa jmni 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ Hapana naogopa aiseh
 
Back
Top Bottom