fullcup
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 809
- 2,216
Watuuu! Mukuje mukuje niwape story yangu
NILITONGOZWA, NIKAKUBALI NA KUPEWA CHAKULA
Kuna mhubiri mmoja alisema wanawake walipewa moyo mgumu mno yaani anaweza kutongozwa lakini akakataa. Yaani wanawake wanajitahidi sana ingawa wachache mnawala kimasihara.
Juzi wakati nipo mafinga nilikutana na class mate. Tuliongea mengi lakini aliomba tupate sehemu tulivu tuongee, nilimuahidi kuwa nikitoka Iringa lazima nirudi kwake.
Jioni kama SAA kumi na mbili nimerudi kwenye mji wa baridi Kinyanambo kumuona mrembo. Yes ni mrembo maana uzuri wake ule wa shuleni umeongezeka na ile rangi yake ya mtume amekua kama burushi.
Nilimtaka twende Hotel alikataa akasema ameandaa dinner room kwake nikaenda nikala msosi. Mida ya saa tatu ndo mtoto akafunguka, et "oooh fullcup nakupenda sana toka tukiwa school sema kukamia kwako kutabu kulininyima chance na naomba uwe nami jomoni".
Kiukweli sisi tumejaariwa huruma, mrembo kama yule kupata taabu kwaajili yangu ni kosa kubwa sana. Nilimshika mkono nikamwambia usijali mrembo Mimi ni wako daima nami nilikupenda, nakupenda na nitakupenda.
Usiku hatukuota moto, tulipashana joto mpaka blanket zikakosa kazi yaani wanaume tunahuruma sana.
Sasa kimbembe kilianza asubuhi! Jamani jamani yaani yule mwanamke ni anaomba hela phuuuuuu! Asubuhi anaomba hela ya matumizi na kifurushi. Ukituma ya matumizi let say Tsh 10,000/= ikifika jioni anaulizia kifurushi mbona hujamuungia.
Yaani kwenye ulfu kumi kuacha atoe kidogo anunue kifurushi no!
Sikulazimishwa na mtu , nimedata mwenyewe wacha anikamue mpaka utumbo.
Maendeleo hayana chama lakini kwa maendeleo bora chagua CCM.