Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikuwa na mpenzi wangu tumedumu naye kama miezi 3. Lakini mara nyingi tunasumbuana sana. Ni kigeugeu sana, mara awe freshi na mimi, muda mwingine anakua kama rafiki yaani in shot hasomeki...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jana ilikuwa nikamle msichana mmoja ambaye nimemfuatilia muda mrefu sana. Basi tukapanga kila kitu na kukubaliana kuonana lodge moja hivi kijitonyama. Imefika mida nikatoka mapema job saa 7 nikale...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu habarini za kazi, poleni majukumu na shughuli za hapa na pale katika kujitafutia mkate wa kila siku na imani mko vizuri. Tuingie kwenye point, kiukweli mimi ni kijana wa miaka 25 nimekuwa...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Sijui mwenzenu niisije, hali yangu ni gumu. Kwa shughuli zangu za duka kila siku wanakuja wanawake wazuri wazuri kununua nguo dukani mwangu. Nasikitika hao wote nawaona lakini nimekuwa mwoga toka...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Habarini na poleni na majukumu ya kuimarisha huu uchumi wetu mpya. Kuna baadhi ya watu wanaamini kwenye ule mchezo wa WAKUBWA TU kuunga round ya kwanza na ya pili bila kupumzika ndo ushababi...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Nowdays vijana wamekuwa wajanja sana upande wa kuapproach wasichana kupitia njia ya simu. Sijui kwanini Ila simu zimekuwa Kama daraja la wajanja wengi ku-approach wasichana. Ni confidence...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
She cm in ma life and f*ck ma heart, she f*uck ma happness, she f*ck ma brain, she f*ck ma time, she f*ck porket, Niliamua niache kila ki2, niache malaya, niache viwanja, nitulie nae tuanze...
5 Reactions
76 Replies
7K Views
A love song is about falling in love and the happiness it brings. By contrast, a heartbreak song is about a relationship breaking down, or the sadness of a love that has died. Anthologies of love...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Duh!nawarudisha nyuma kidogo Ila nahisi mna kumbukumbu enzi za shule. Jinsi mapenzi ya shule yalivyokuwa ya kusisimua na kufurahisha Yalikuaga hayana kuchepuka yale yaani mnapendana mkiwa kidato...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Takwimu zinaonesha kuwa ndoa nyingi ambazo wanandoa walikuwa ni marafiki wa karibu zimeonekana kudumu. Tofauti na ndoa ambazo wanandoa wakikutana hawakuwa marafiki hapo kabla. Ndoa ambazo...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Dah! Papuchi hizi papuchi hizi,noma sana. Ni hivi: Kuna siku tulitembelewa na wageni home kwetu,sasa ilipowadia wakati wa kulala ikabidi mimi niwaachie wale wageni geto langu ili mimi nikalale kwa...
55 Reactions
61 Replies
9K Views
Hii ni kwa wanaume wote waliooa na ambao waliopo katika mahusiano,iwapo mwanamke kaamua kumchezea akili mwanaume kwa kumwendea kwa mganga/waganga kwa lengo la kumpumbaza,tatizo hili laweza...
5 Reactions
46 Replies
20K Views
Habari ya jioni wanajukwaa. Mimi ni kijana wa kiume. Nimekuwa kwenye mahusiano na binti ambaye nilipanga aje kuwa mke lakini nasikitika shetani katia mchanga kwenye mahusiano yangu. Long distance...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
I’m So Excited It’s Already Weekend Twende direct kwa topic, wanawake wa kizazi hiki daily mnazidi poteza qualities, wale wanawake wa 2010< mlokuwa mnatupa mauno feni namahaba motomoto mmeenda...
7 Reactions
143 Replies
14K Views
Most men get upset when a lady turn them down mainly on their first try, and most of the men think its because their not of the same category The real fact is that no man can really meet a Top...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za mida hii wakuu Naombeni mnisaidie njia za kumfanya huyu mtu aachane na hii tabia...nimechoka asee
6 Reactions
94 Replies
11K Views
Nimeona kwa washkaji zangu wengi walionizunguka, utakuta amepata namba ya mdada leo, lakini baada ya siku chache au baada ya wiki mbili washaachana. Wengine wakiachana hata wakikutana barabarani...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari za muda huu wanaJF, Natumai wazima na mpo na afya mzuri kabisa. Haya sasa kijana wenu tena kwa mara nyingine tena tuzungumze na Jamii. Kwa wiki kadhaa nilizokaa na mabinti, wadada na...
3 Reactions
67 Replies
7K Views
HABARI za asubuhi marafiki! Ni siku ya jumanne ya tarehe nne…. Na hakuna kingine ukishaona maandishi haya asubuhi basi ni kipengele adhimu na bora kabisa cha YA-WALIMWENGU. Leo nina haraka sana...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Utafiti wa Kimataifa wa unyonyeshaji uliofanywa na Shirika la Afya duniani (WHO) unaonesha kuwa hakuna nchi inayokidhi kikamilifu viwango vya unyonyeshaji vinavyopendekezwa kitaalamu. Viwango vya...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom