Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,439
- 872,036
Jumuiya ya Afrika Mashariki kiasili inaundwa na mataifa matatu Tanzania Kenya na Uganda. Hizi nchi tatu zinashabihiana kwa mengi lakini sio yote.
Kwa mfano Uganda mojawapo ya makabila yake yana tuhuma za kula watu huku Tanzania ikiwa na tuhuma za kila aina za ushirikina na uchawi.
Kenya kwa upande wake imekuwa na matukio naweza kusema ya kushangaza na ya aibu pia nitataja machache yanayoonekana kujitokeza mara kwa mara:
Kuna shida kwa jirani na pengine sio ndogo.
Jr[emoji769]

- Wanaume kupigwa na wake zao/wapenzi wao
- Wanaume kufanya ngono na wanyama
- Wanaume kufanya ngono na wakwe zao
- Wanaume kufanya ngono na wazazi wao/mama zao
- Ndugu kufanya ngono wao kwa wao
- Mabinti kulala na baba zao
- Wake kulala na mashemeji zao
- Waume kulala na mashemeji zao
Kuna shida kwa jirani na pengine sio ndogo.
Jr[emoji769]