Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari Wana JF, Kuna misemo tunaisikia Sana 1. Ukiona mtu ni bahili Sana ujuwe mwanzoni alikuwa ni mtoaji Sana Ila wanadamu tu ndio wamembadili. 2.Ukiona mtu ni katili sana fuatilia maisha yake...
24 Reactions
123 Replies
13K Views
Jamani msaada chonde chonde, pia kuna uwezekano wa mbegu za kiume kuishiwa nguvu hata kama ni mtu usiyefanya mapenzi mara kwa mara? Tiba yake ni nini? Naombeni michango jamani, hakuna haja ya...
1 Reactions
25 Replies
126K Views
  • Closed
Habari? Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa? Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?
12 Reactions
732 Replies
39K Views
"Unamkera wife, unaenda kazini asubuhi, unarudi jioni kakufulia nguo, viatu na mambo mengine mengi kayatimiza as a wife and still ukiomba "MZIGO" wa kuni nn the middle of the night anakupa bila...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
A lady has voiced out her own opinion about a social issue which has something to do with the marriage. The lady maintained that some men marry the wrong women because they think they own them not...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
There is no mincing word that some women could be very frustrating and exhausting. They may choke someone to the extent of perpetrating domestic violence. This is an ungodly act that every man...
3 Reactions
77 Replies
5K Views
Heshima kwenu wakuu: Rejea kichwa hapo juu, siku moja nilikaa siti moja na mrembo wa kijeshi na alinivutia kweli kweli ila ‘kumwimbisha’ ndo yalikuwa yanagonga yanarudi hadi mwisho wa safari...
2 Reactions
117 Replies
12K Views
Usitudanganye Mimi nimeanza nikiwa na miaka kama (10 ). Nakumbuka kunasiku tulikuwa tukicheza kombolera Kuna kademu ( ni kajirani ketu) kalikuja kujificha na mimi kwenye kibanda (kipindi icho...
1 Reactions
90 Replies
6K Views
Kuna wanaume ambao hawana maelewano mazuri na wazazi wa wake zao. Hata mawasiliano Kati yao ni nadra sana na pengine kutowasiliana kabisa. Hii ni hatari kwa afya ya ndoa yako. Nina kisa hiki...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Waingereza wanaita ‘peer-pressure’, yaani makundi-rika kwa lugha ya ‘madafu’. Watoto katika umri tofauti wa ukuaji wao wanakutana na vishawishi ama chanya au hasi kutoka kwa marafiki zao. Makala...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nakumbuka 2010 pale Sinza kwa Remmy nilitokea kukutana na binti mrembo aliitwa Nusra. Aisee alikuwa mzuri haswa. Nilijikuta tu napata ujasiri wa kumkaribia na kumsalimu; "Dada mambo vipi? Naitwa...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya, nimegundua wadada wanapenda sana magari kuliko vitu vingine. Ili niligundua baada ya kutembelea mji Y nikatafuta mdada wa kunipa kampani. Baada ya...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu, leo nimeona nilete mada hii kwa mtindo wa swali ili kupata michango mbalimbali. Kwa tamaduni za kiafrika imekuwa desturi kwa mwanamume ama mwanamke kumficha ukweli mwenza wake pale...
3 Reactions
173 Replies
15K Views
Wengi hukimbilia kondom za bei kubwa wakiamini kuwa ndio safe, lakini ukweli ni kwamba zile condom za bei poa zenye kusambazwa na serikali au mashirika ya kupambana na UKIMWI ndio condom imara na...
2 Reactions
58 Replies
23K Views
Huyu dada sikuwa namfahamu before na sikuwa nafahamu kuwa mumewe ni jamaa mtaani.siku nmekutana naye mitaa flani hivi hapa town tukanywa naye sana.baadaye tukaagana kuwa jumamosi tuonane tena...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Sioni sababu yoyote kuchangia michango ya harusi ni utapeli. Kama ujajipanga usi oe wala kuolewa mna leta usumbufu na kadi zenu za michango. Kuna mmoja aliniletea kadi ikibidi nimwambie hali ni...
10 Reactions
47 Replies
5K Views
Mimi hutokea nikifanya mapenzi na mke wangu huwa nawahi kufika kileleni haraka na nikisha fika kurudia tendo huwa inachukua muda mrefu zaid au Mara nyengine nashindwa kabisa naomba msaada wenu...
11 Reactions
220 Replies
68K Views
Habari wanajukwaa... Najitokeza jukwaani kutafuta mwenza wa maisha ambaye yupo tayari kuwa mama wa familia. Wasifu wangu Umri: miaka 30+ Dini: Mkristo RC Elimu: Bachelor's Degree Kazi...
3 Reactions
0 Replies
721 Views
Nimevaa helmet, najua nitarushiwa mawe! Nimekuja hapa kuwasihi wanawake ambao wanaishi kwa nguvu za papuchi. Yani kuna mwanaume ambaye unampelekea invoice za maisha yako sometimes hata za wazazi...
24 Reactions
160 Replies
18K Views
Habari wanajukwaa Kwenye kikao cha baharia kilichofanyika hapo nyuma kidogo kimeona kuna shida kwa wanaume wa sasa wa JF Jukwaa la MMU, kuwa wanalalamika sana kwenye suala la mapenzi na kuchakata...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom