Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Happy new months members Hivi wale ndugu zetu mnasemaga mmewachoka wanawake zenu huwa nashindwa waelewa kuwa akili imo kwa kichwa?? Au tumetofautiana? Naenda mwaka wa3 na mpenz wangu ila...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
HOW TO SURVIVE IN A LONG-DISTANCE RELATIONSHIP/MARRIAGE The word survive is used because everyone's desire is to live within reach of their partner. But sometimes life gives you a good partner...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwenye maisha kila mtu kajiwekea principles zake na utaratibu wa Maisha.. Ni sahihi sana lakini Kuna vingine vinahitaji Utashi wa kibinadamu kung'amua Hasara na Faida zake. Kuna watu wamejiwekea...
60 Reactions
242 Replies
22K Views
Hawa ni ndugu zangu upande wa mama yangu mzazi. Kifupi, nililelewa upande wa baba. Mama alitengana na mzee na kuwa na maisha yake na familia yake na sijawahi kusikia akinitafuta hata siku moja...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanawake ni watu wazuri sana. Nikikumbuka haya matukio huwa nawatazama wanawake na kuwaona kuwa ni watu wazuri sana. Leo nitazungumzia uzuri wa wanawake ambao hawakuwahi sina undugu. Hawa ni wale...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Chunguza kwa makini. " Ukifanya kosa la buku, unapewa adhabu ya buku tano au buku teni" Ujue hapo bwana/ Bibi umechokwa na anza kujiandaa kisaikolojia. Over. Uzi tayari
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna watu wanateseka sana na wengine hawapo hata makazini sababu ya marafiki. Kuna ndoa zinatesa watu leo hii sababu ya marafiki Wapo wanafanya biashara wanaojuta leo hii na wengine wamefunga...
11 Reactions
30 Replies
3K Views
HOW TO HELP YOUR HUSBAND The wife was created as a helper and companion. How do you help? 1. Find out his vision so that you may be his support. 2. Communicate to him your own personal vision...
6 Reactions
7 Replies
984 Views
Habari, Leo ningependa kushare nanyi kitu kidogo hasa kupitia mahusiano jambo ambalo sikuwahi kabla huenda nikapata ushauri na hata wengine kujifunza. Kitabia naweza kusema ni moja kati ya wale...
42 Reactions
163 Replies
25K Views
Huyu manzi kila siku ananipigia simu anataka aje nampotezea kwakuwa nakua na mambo mengi pia sina mzuka naye. Ila tatizo lake nikimuambia aje anakuja anakula shoo, akiondoka nampa nauli maybe elfu...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Kuna tabia ambayo wamama wengi wanayo ya kuwa na vyombo vizuri vya gharama kubwa ambavyo hawavitumii kabisa katika matumizi yao ya kila siku na wanasubiri hadi wageni waje ndio vitumike...
21 Reactions
85 Replies
19K Views
Huyu Mwanamke ni muda tuna mapenzi ila mwenzangu shida kubwa anaweza akakaa hata mwezi mzima kimya. Nikituma meseji hajibu, Nikimpigia hapokei. Halafu siku moja ananitafuta na kutaka tuonane...
13 Reactions
70 Replies
7K Views
Jamani hivi Tanga kunani? Toka nimekua na kubalehe nasikia tu kuwa ukipata mwanamke wa kitanga haujinasui na wengine wanasema eti mwanaume ukienda Tanga hauwezi rudi siku hiyo hiyo lazima ulale...
2 Reactions
100 Replies
34K Views
Nature inaonyesha hivi idadi kubwa ya wanaume hupenda kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wengi, huku idadi ndogo ya wanaume upendelea kubaki kwenye mahusiano na mwanamke mmoja. Kwa upande...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari. Ulishakutana na mtu ambae kila kitu kinachoongelewa ni either kilishamtokea yeye au kilishamtokea ndugu yake au rafiki yake? Yeye anajua kila kitu.? Hamna story utaleta asidakie "hata...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi nina mke tumeishi miaka 5 na tuna mtoto mmoja wa miaka 4. Nilikwenda shule kwa muda wa mwaka mmoja tu lakini nilivyorudi nikakuta kabadilika kitabia na kusikia maneno machafu mtaani. Lakini...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
SPECIAL PRAYERS FOR WAITING MOTHERS 1. I bring to judgement before the Lord, every spiritual cause that is delaying your child bearing in Jesus name. 2. Every physical cause of your delay, that...
1 Reactions
0 Replies
670 Views
ARE YOU PLEASING THE RIGHT PEOPLE?' 1. There are parents who are so approachable and loving towards other people's children; but to their own children they are harsh, angry and constantly...
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Habari wakuu Mnajua kuna wanawake wanashangaza na kustaajabisha sana asee Yaani unakuta mwanamke hana mvuto wowote na pia hana hata wanaomtongoza kwa sababu ya mapungufu yake lakini amejaa...
10 Reactions
106 Replies
12K Views
I have one saying about relationship, and which was "relationship can be salty, or milky, sometimes it can be both", I hope you understand that. Getting married is good, and so is dating, but I...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom