Mwanamke akikuchoka ni nini cha kufanya akiwa kama mke au mpenzi?

Vaa vizuri upendeze. Nyoa vizuri, na kuwa romantic.
Mchukue msafiri hata nje ya nchi mbadili mazingira.
Mtoe hata dinner mle huko mtembee usiku huku mnaongea.
Ikiwezekana jenga nyumba mpya mhamie au iliyopo ibadili mwonekano wake. Toa rangi iliyopo paka nyingine nk.
Mnunulie kitu anachokipenda kama zawadi.
Ikibidi weka picha yake kama profile pic kwako.
 
Kwa wale wenye uzoefu na mnatambua saikolojia ya mwanamke ivi ikifikia hatua ukagundua ameshakuchoka na ameshapoteza interest na wewe ni nini cha kufanya akiwa mke au mchumba ??!

Hebu tupeane mbinu kulimaliza tatizo hili au kulitatuaaaa
Mwanamke akikuchoka ujue anatafuta sababu muachane
 
Mwanamke anakuchokaje mkuu....wanaume ndo tunatabia ya kuchoka wanawake ndo Mana kuwa na wapenzi/wake zaid ya mmoja ndo hulka yetu.

Sema tuu kuna ile hali ya ubinadamu ya mazoea, sasa apo inabidi mpeane nafasi walau mmisiane kila mtu awe na hamu na mwenzie....Kama mwanaume kuwa busy fanya mambo yako adi pale mtakapo missiana ndo mnakutana kwa hamu na mashamshamu kibao.

Pia Kila mmoja ajarbu kufikiria mazur ya mwenzake achaneni na mapungufu yenu.
 
Vaa vizuri upendeze. Nyoa vizuri, na kuwa romantic.
Mchukue msafiri hata nje ya nchi mbadili mazingira.
Mtoe hata dinner mle huko mtembee usiku huku mnaongea.
Ikiwezekana jenga nyumba mpya mhamie au iliyopo ibadili mwonekano wake. Toa rangi iliyopo paka nyingine nk.
Mnunulie kitu anachokipenda kama zawadi.
Ikibidi weka picha yake kama profile pic kwako.
Wanawake mnamambo haki
Kwahyo Kama Hana uwezo na hayo anaachwa?
Tutaowaje Sasa?
 
Vaa vizuri upendeze. Nyoa vizuri, na kuwa romantic.
Mchukue msafiri hata nje ya nchi mbadili mazingira.
Mtoe hata dinner mle huko mtembee usiku huku mnaongea.
Ikiwezekana jenga nyumba mpya mhamie au iliyopo ibadili mwonekano wake. Toa rangi iliyopo paka nyingine nk.
Mnunulie kitu anachokipenda kama zawadi.
Ikibidi weka picha yake kama profile pic kwako.
Haisadii kwa maana akishakuchoka chochote utakachofanya ataona kama unamchosha yani unazidi kumkera. Hata umnunulie gari ila atafurahia mwingine akimwekea mafuta
 
Yaani Wanawake ni viumbe wakipekee. Hahahaha
 
Haisadii kwa maana akishakuchoka chochote utakachofanya ataona kama unamchosha yani unazidi kumkera. Hata umnunulie gari ila atafurahia mwingine akimwekea mafuta
Ukishajua amekuchoka na ww mchoke. Ukianza love story tu ujue unapunguza siku za kuishi.
 
Vaa vizuri upendeze. Nyoa vizuri, na kuwa romantic.
Mchukue msafiri hata nje ya nchi mbadili mazingira.
Mtoe hata dinner mle huko mtembee usiku huku mnaongea.
Ikiwezekana jenga nyumba mpya mhamie au iliyopo ibadili mwonekano wake. Toa rangi iliyopo paka nyingine nk.
Mnunulie kitu anachokipenda kama zawadi.
Ikibidi weka picha yake kama profile pic kwako.
Why doing all that just move mwachie mavitu yake we kaanze pua Let's make life easy
 
Vaa vizuri upendeze. Nyoa vizuri, na kuwa romantic.
Mchukue msafiri hata nje ya nchi mbadili mazingira.
Mtoe hata dinner mle huko mtembee usiku huku mnaongea.
Ikiwezekana jenga nyumba mpya mhamie au iliyopo ibadili mwonekano wake. Toa rangi iliyopo paka nyingine nk.
Mnunulie kitu anachokipenda kama zawadi.
Ikibidi weka picha yake kama profile pic kwako.
Duuuuhhh...
 
Back
Top Bottom