Kwanini ukikaa karibu na binti safarini lazima habari za kutongozana zitokee?

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Natumai hamjambo wakuu.

Miongoni mwa mambo yanayotufanyaga wanaume tuzione safari ni nyepesi hata kama tuendako ni mbali ni kukaa karibu na mtoto wa kike, binafsi nikisafiri hua napenda nibahatike kukaa na mtoto wa kike ili safari iwe nyepesi.

Mara zote niwapo safarini nikaketi na mtoto wa kike lazima nimtongoze na kuna baadhi nimebahatika kuwagegeda, sasa nachojiulizaga kwa nini ni ngumu sana kujizuia kumtongoza mdada ukikaa nae karibu safarini?

Karibuni wajumbe mtoe hukumu ya jambo hili.
 
Me sijawahi tongoza safarini na nina bahati ya kukaa seat moja na pisi
 
Sababu utapenda mjuane hapohapo akiri ya kumtongoza itakuja,wanaume tumeumbwa kutamani kadri ya maongezi yenu utazidi kumtamani.
 
Ni tamaa zako tu bro. Na kuna siku utamtongoza na kumgegeda mtoto wa baba yako wa nje, ndio utakoma na hako katabia.
 
Daah, mimi nilikuwaga kauzu sana naweza kaa na dem nikawa nimeweka earphone masikioni zaidi ya salam sina story, siku moja nimesafiri na mtoto mzuri tumefika moro akanunua vitu akanipa mimi nikashukuru nikachukua nikaweka kwenye sehemu ya kuweka bites uwa nina principal ya kutokula kitu cha mtu kwenye bus maana hukawii kupewa dawa za kulevya ukaibiwa.

Then kama kawaida mimi na mziki tu, tumeingia dodoma usiku namwambia ngoja nitafute pa kulala, naye oh twend nami nitafute nawe, tukaishi nyumba ya wageni, chumba kimoja nilichokutana nacho nilikimbia usiku huo huo sikulala naye. Hiyo ilikuwa 2012.
 
Back
Top Bottom