Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kwa hali yeyote ni lazima utawala wa Sheni uondoke madarakani,kilichotokea Zanzibar ni Mapinduzi,kwa lugha nyepesi upinduaji umechelewa kiasi ya kutumia watu waliovalia UNIFORM za JWTZ na kumteka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mh Rais wetu mpendwa, bado sioni nguvu yoyote katika suala hili la kufuatilia wageni wanaoishi na kufanya kazi tanzania bila vibali, wageni wanaofanya kazi ambazo watanzania wengi wanaziweza na...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema yeye hatishiki na maneno yanayosemwa dhidi yake na kusisitiza kuwa atabaki kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwezi mmoja tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, apige marufuku safari za nje ya nchi kwa viongozi nchini, maombi ya viza yamepungua kwa asilimia 90. Uchunguzi...
1 Reactions
31 Replies
9K Views
  • Redirect
Kwakweli inasikitisha sana kuona kwamba Watanzania wenye asili ya Asia hawana haki ya kuongoza ndani ya taifa hili.
0 Reactions
Replies
Views
Kweli mungu hamfichi mnafiki! Naamini mungu unatupenda sana na ndio maana leo kawaumbua na huu "mnara wa babeli" wanaujenga ipo siku tu utaanguka. Nilliwahi sema na leo narudia kuwa mungu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Robert Alai Onyango #OperationTimua : President Magufuli has ordered that all foreigners with or without work permits MUST surrender their jobs to the Tanzanians. In the launched "operation...
0 Reactions
87 Replies
14K Views
Je,hili linawezekana? Au kuchagua Meya ni sawa na mbunge kufanya kazi za kiserikali kabla ya kula kiapo cha ubunge?
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani na baada ya teuzi mbalimbali kufanywa na Mhe Rais, nimekuwa nikijionea vitimbi na vituko vinavyofanywa na wateule hawa. Kitu nilichokibaini ni kuwa...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Niliweka uzi wangu wiki iliyopita kutilia mkazo na kuonesha uhaja wa serikali ya Magufuli kuangalia hili jipu lakini naona umepotea. Kwa sasa bei ya mafuta huko duniani inaendelea kuporomoka kwa...
1 Reactions
2 Replies
951 Views
Waziri Prof Maghembe amsimisha kazi mkurugenzi wa mipango na matumizi ya rasilimali wa wakala wa misitu nchini Mohamed Kilongo. Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe (kulia)...
2 Reactions
55 Replies
14K Views
  • Redirect
1. "Kamati ya maridiano ikiongozwa na Dr Shein kama Mwenyekiti inayohusisha watu wanane akiwemo Maalim Seif tutatoa tamko rasmi la pamoja juu ya mazungumzo" 2. " Wananchi jiandaeni kwenda kupiga...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wanajamvi Nimekua nikifuatilia utendaji wa ndugu huyu toka sakata la Richmond enzi hyo yeye akiwa mbunge tu, nikaja nikamfuatilia akiwa waziri katika sakata la dawa la kulevya alivyokua akidamka...
0 Reactions
Replies
Views
Wanabodi, hivi karibuni serikali imepiga marufuku safari za nje kwa watumishi wa umma, wakiwemo wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma. Hali hii inasikitisha sana kwa sababu 1. Vyuo vikuu vina miradi ya...
9 Reactions
184 Replies
18K Views
  • Redirect
wakati wa kampeni ukawa waliinanga ccm kuwa haifanya chochote hapa nchini. barabara za lami walihesabu zipo nchi nyingine. walihutubia hao viongozi mpaka mishipa ya shingo yakaonekana. mwingine...
1 Reactions
Replies
Views
Wakati wa amshaamsha juu ya upotevu wa makontena 349 Azam ICD na mengine zaidi ya 2000 kwengineko, huyu jamaa alikuwa ni jipu la kwanza lililotumbuliwa kwani alikuwa ni msimamizi wa ICD's na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tarehe 5 Januari 2011, zilitokea vurugu katika jiji la Arusha zilizosababishwa na jeshi la polisi kuzuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), pamoja na wananchi wengine...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakina Kigwangallah walianza kwa kishindo, walishtukiza sana huku wakifuatwa nyuma na waandishi wa habari wakiwa. Na Camera zao. Wakina Dr. Mwaka Wakawa Majeruhi wakwanza Wiki Chache baada ya...
0 Reactions
2 Replies
889 Views
Pengine watu wa itifaki mngetusaidia hili! Au ndo mwendelezo wa nchi yetu kupuuza puuza tu mambo kama wanavyoipuuza katiba ya nchi! Leo Zanzibar wakati wa viongozi wakuu kuingia kwa kiitifaki...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Tofauti ya Mapinduzi ya Zanzibar ya 12/01/1964 yaliongozwa na John Okelo na yalihusisha umwagaji damu na haya ya 25/Oct/2015 yaliongozwa na Jecha na hayajamwaga damu hadi hivi sasa. Let's keep in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom