Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Wakina Kigwangallah walianza kwa kishindo, walishtukiza sana huku wakifuatwa nyuma na waandishi wa habari wakiwa. Na Camera zao. Wakina Dr. Mwaka Wakawa Majeruhi wakwanza
Wiki Chache baada ya kushtukiza kupoa, rushwa imeshika kasi hospitali nyingi hali imekuwa ngumu na mawaziri waliokuja na kasi wakazimika ghafla. Nashindwa kuelewa. je hawa watu ilikuwa ni kutafuta sifa Au walikuwa na moyo wa kuwasaidia watanzania.?
Mbunge wa Rorya, Lameck Airo alisema wazi kwamba, kasi ya Magufuli ilikuwa ni nguvu Ya Soda. Ni kweli hii ilikuwa nguvu ya Soda. Ghafla inazimika, na Tanzania inaingia kwenye Zama za giza za kidikteta