Wabunge wa kuteuliwa na Rais wanaweza kuchagua Meya bila kula kiapo cha ubunge?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,706
149,939
Je,hili linawezekana?

Au kuchagua Meya ni sawa na mbunge kufanya kazi za kiserikali kabla ya kula kiapo cha ubunge?
 
Nje ya bunge wanafanya kazi kama kawaida isipokuwa ndani ya bunge hadi wale kiapo
Hii nchi ina sheria za ajabu sana.Hili jambo nadhani linahitaji tafsiri ya kimahakama unless sheria/kanuni za Bunge zimetamka hivyo moja kwa moja
 
JPM aliikatalia mahakama kutoa ushahidi wa rushwa kwa kesi ya Kafumu kule Tabora. Alijipambanua kuwa kwake sharia ni maamuzi yake
 
Hawaruhusiwi kupiga kura yoyote ya maamuzi kwenye kikao chochote kabla ya kuapa bungeni
 
Tafsiri za kisheria zinatolewa na mahakama zip labda? Maana tumeona hoja nying sana za maana zikipelekwa kwenye mahakama kutaka tafsir halaf zinapigwa chin ! Bwana mkubwa mahakama zetu hua zinatoa tafsir za kishetan tu
 
Mbunge bila jengo hajakamilika au watakaa chini ya mti

Athens huko habari ya demokrasia na bunge ilipoanzia walikaa chinibya mti.

Bunge ni chombo cha kutunga sheria, mkikubaliana kutunga sheria chini ya mti sheria haitakuwa sheria?
 
Back
Top Bottom