MH MAGUFURI, HII NI NYUKLIA.

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
11,495
24,212
Mh Rais wetu mpendwa, bado sioni nguvu yoyote katika suala hili la kufuatilia wageni wanaoishi na kufanya kazi tanzania bila vibali, wageni wanaofanya kazi ambazo watanzania wengi wanaziweza na wana ujuzi nazo. Mh Rais hili ni tatizo kubwa halitaki mzaha hata kidogo, linahitaji ufuatiliaji wa kina na nguvu kubwa. Mh najua uko bize, mtume kazi hata kijana wako PM MAJALIWA ikishindikana hata mh waziri na alipoti kwako moja kwa moja kwa mrejesho. Mkuu kwa kiasi kikubwa taifa linahujumiwa kwa watanzania kukaa benchi wakati wana uwezo, wenzetu hasa majirani wanaajiriwa hapa kuwapiga hata majungu watanzania ili walete ndugu zao kutoka nyumbani tabia hii inawekewa nguvu na mahr ambao wametoka kwao..
MHR WAKITANZANIA MNASUBIRI NINI KUWAOKOA WATANZANIA WENZENU KWA KUFIKISHA TAARIFA SAHIHI KWA WAHUSIKA ILI TUSAIDIE TAIFA LETU, HUU NI UZALENDO, TOENI TAARIFA NA MPAZE SAUTI NDUGU ZETU WAMEJAA MTAANI HUKU WAKIWA NA UJUZI, ELIMU NA UZOEFU ILA NAFASI ZIMEZIBWA NA WAGENI KWA UONGO WA UEXPERT, HII NI KARNE YA 21.
MH Rais okoa kizazi cha kitanzania, kinaangamia, lini watu wetu watajifunza na kuwa wakimataifa au kulisaidia taifa??? Huku wageni wakichukua kazi tunazoziweza au mpaka tuchomane moto kamà southafrica??

Mh Rais fanyia kazi hapa ukumbukwe na wajukuu na pia utujengee msingi katika utamaduni huu kama majirani zetu walivyo...ubinafsi wetu usiwe baina yetu na kuchekea wageni ambao kwao si marafiki zetu hata kidogo..
 
Back
Top Bottom