Acheni mungu aitwe mungu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,679
149,864
Kweli mungu hamfichi mnafiki!

Naamini mungu unatupenda sana na ndio maana leo kawaumbua na huu "mnara wa babeli" wanaujenga ipo siku tu utaanguka.

Nilliwahi sema na leo narudia kuwa mungu alikwisha wanyima maarifa hawa watu tangu siku nyingi tu na ndio maana kila wakati wanaumbuka na kilichobaki ni mnara huo wanaoujenga kuanguka tu.

Tutafika tu!
 
Last edited:
Wanaujenga wapi huo mnara? Najua sio Babeli ya kwenye maandiko....
 
Back
Top Bottom