Wanabodi
Kwanza nitangulize kuomba radhi kwa kusema samahani kwa shurti la udhamini wa chama cha siasa kugombea uongozi wa umma,mimi kuuita ni ujinga!. Kiukweli kitu ambacho ni cha kijinga kweli...
Muda huu saa sita mchana, Jengo zima la Mahakama umeme umezimwa, kuna giza nene kama tupo kuzimu halafu njee kuna mvua inaendelea kunyesha.
Msajili wa Mahakama hii, Lyakinana anawaogopa sana...
Kama ni kweli zile tunazoziona kwenye social media ndio Jezi watakazovaa timu ya Taifa kwenye Afcon basi tutakuwa na tatizo la afya ya akili.
Waziri Makonda usikubali huu usanii utakaopelekea...
Unatoa maamuzi ya kisiasa ili kufurahisha watu wa Muganza.
Vx ambalo halina kitanda cha mgonjwa litabeba wagonjwa.?
Acha hadaa na siasa za kishamba.
Ulipaswa kutumia busara na kuagiza gari la...
Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri...
UTANGULIZI:
Habari ndugu MTANGANYIKA, leo ni mambo mengi kweli ya kusema ambayo yanatatiza sana moyo wangu. Nimejaribu kuandika wiki kadhaa lakini naishia kufuta kila nikimaliza kuyaaandika...
Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju.
Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana...
Huyu jamaa yeye utamsikia unapokaribia uchaguzi tu, atapiga porojo zake ili ateuliwe
Ni miongoni mwa mawaziri duni kuliko uduni wenyewe, hana lolote zaidi ya uchawa
Nakulilia Tanganyika
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa maswali mengi ya Katuga kwa mashahidi, iwe kwa upande wa mashahidi wa Jamhuri au kwa mashahidi wa mshitakiwa, huwa ya kipuuzi, ya kupoteza muda, yasiyohusiana...
Katika hili tunao wakandarasi, wakandarasi ambao wanafanya kazi ya uondoshaji wa takataka kwenye points mbalimbali. Lakini tunakiri pia kwamba teknolojia pia inayotumika ni teknolojia pia kawaida...
Tarehe 16 Septemba 2026 Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius John Ndejembi alitembelea Ubalozi na Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Dar es Salaam kwa sasa tunahamisha takataka kutoka point A tunapeleka point B. Tunahamisha huku kwa watu tunapeleka Pugu Kinyamwezi. Kwa hiyo kwa lugha nyepesi ni kwamba huku unaweza ukakuta...
The war remains active, with no ceasefire or peace agreement in place. Fighting continues along multiple fronts, while both sides increasingly rely on long-range drones and missile strikes...
Miji yetu ukiangalia kwa sehemu kubwa na hata ujenzi wa barabara uliokuwepo tangu zamani, ulikuwa ni ujenzi wa barabara ambao hauna lami. Leo hii nikiwaambia wanitajie lami vizuri ya majitaka na...
Tukiwa tunapambana na Ripoti ya Jaji Chande. Huenda AFCON 2027 ikapelekwa Bondeni kutokana na na maandalizi duni. Viwanja bado, hoteli duni, barabara hoi.
**Tujiandae kwenda bondeni.
Hutuwezi kuwa taifa lenye nguvu imara na lenye maendeleo makubwa kama tutaondoa ushindani wa ubora .
Tunaweza kuliua taifa taratibu Kwa sababu ya kikundi Cha watu wachache wenye tamaa wadhaifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.