1. Nchi zote Malawi na Zambia zilipata uhuru mwaka 1964 na zote hutumia pesa aina ya Kwacha. Marais wake wote, Dk. Kamuzu Banda (Malawi) na Dk. Kenneth Kaunda (Zambia) walizitumikia nchi zao...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa wana CHADEMA wamepoteza kabisa Imani na Heche , Hakuna anayemuamini,Hakuna anayemuelewa wala kujua anachokifanya ndani ya chama chenye Maslahi kwa chama.
Kila...
Wanabodi
Tangu jana nilipoiona ile Taarifa kwa umma ya VP kujiuzulu, nilipata shock sikuiamini nikiamini ni fake news, mpaka leo nilipoiona Taarifa ya Ikulu, ndio nimeamini!.
Nilipata shock...
Long and short terms trending
Kiwanda cha kupika habari
Ghala la kuzitawanya
Kuna za jumla
Kuna za rejareja
Za kusadikika
Za halisi
Nani ni nani kwenye nini.. !? Jipu lililodhaniwa limevia...
Tuanzie kwenye kichwa cha habari hapo juu, ni MABADILIKO Gani alitaka kuyafanya mama na akuzuiliwa na Nchimbi?
Kumteua mbowe kuwa waziri mkuu?
Kumuuua Tundu Lissu?
Kuamua yakuwa katiba mpya...
2022: Spika wa bunge Job Ndugai ajiuzulu, Samia aridhia.
2023: Katibu Mkuu CCM Daniel Chongolo ajiuzulu, Samia aridhia.
2024: Makamu Mkiti wa chama cha Mapinduzi Kinana ajiuzulu, Samia aridhia...
Yule bwana Faustine Mahali siyo mtu, amemtoa mtoto wake sadaka akiwa ana uhusiano na binti moja wa KIBENA ndg wa mke wake anaitwa KISAVYAKE. Mpaka leo hajalipa mishahara akiwa nje ya ofisi anakula...
Hayati Job Ndugai - Januari 6, 2022 alitangaza kujiuzulu nafasi yake ya Uspika wa Bunge, akisema uamuzi huo ameufanya kwa hiyari yake kabisha na kwa kuzingatia maslahi mapana ya nchi, serikali na...
Paul Christian Makonda ni mwanasiasa mashuhuri na mwenye ushawishi mkubwa nchini Tanzania, ambaye kwa sasa anahudumu kama Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na pia ni Mbunge wa Jimbo la...
Anamuweka
1. Mtu atayeweza kumcontrol
2. Ambaye hana tamaa na Urais mwaka 2030
3. Mkristo hasa awe Mkatoliki
4. Mtanganyika
5. Mwanaume
6. Mkubwa kiumri kuliko yeye
7. Muongeaji sana (Propaganda)
Mtangazaji wa Wasafi Media, Charles William, ametoa uchambuzi kuhusu msamiati na lugha iliyotumika kwenye barua ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Charles William...
1. Julius Nyerere
Abeid Karume
Rashidi Kawawa
Aboud Jumbe
Ali Hassan Mwinyi
2. Ali Hassan Mwinyi
Joseph Warioba
John Malecela
Cleopa Msuya
3. Benjamin Mkapa
Omar Ali Juma
Ali Mohamed Shein...
Ni baada ya ule uchaguzi tukala yamini kuwa serikali hii imeingia madarakani bila ridhaa ya wananchi na tukasema kuwa hii serikali si halali na hatuitambui hiki kitendo cha kumuona mng'atukaji wa...
Unaweza ukahisi ni habari za kutunga, au wale wenzangu na mimi wanasema ni 'drama' za CCM...
Au na Polepole alikuwa anafanya drama?
Anyway!
Huu mtanange una sura nyingi na inabidi utulize kichwa...
Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu nafasi yake hiyo.
Vyanzo vyetu vilivyo karibu na CCM vimethibitisha kuwa tayari...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, amesema Zanzibar haitofikia maendeleo ya kweli pasi na kuwepo Baraza makini la Wawakilishi, linalosimamia maslahi ya Umma na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.