Hivi kikwazo ni nini kulaza bomba ya gesi na mafuta Dsm kwenda Mza then Uganda, Rwanda na Burundi, kwa nini wengine wanaweza..? Halafu ipo mamlaka ya uwekezaji/TISEZA ukiangalia orodha ya miradi...
Aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Alhad Omar Kawambwa pamoja na masheikh wengine wawili wamekutwa na makosa kufuatia uchunguzi uliofanywa na Tume Maalumu iliyoundwa na Mufti...
Mange Kimambi ni mmoja wa wanaharakati wa mtandaoni wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Tanzania, ambaye safari yake ya kisiasa imepitia mabadiliko makubwa—kutoka kuwa kada na mpambanaji wa dhati...
Mkurugenzi mstaafu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na mwanaharakati mkongwe, Dkt. Hellen Kijo-Bisimba, amehoji uhalali wa uchaguzi, akisema alichokiona siku hiyo hakikidhi viwango...
Vijana tujike kwenye shughuli za kijamii na kiuchumi na kuachana na siasa za hovyo nchini maana ifikapo 2035 tutakuwa na ombaomba na wetegemizi wengi kwa vijana wengi kutumia na kupoteza muda...
Hiyo post ya Lema ya kuahirisha press inaonesha ni kweli anatishiaga kufanya press na hiyo post yake anamaanisha Heche kambembeleza kwa hotuba ndo mana akaahirisha na hiyo kusema ameahirisha ni...
Wakuu ! Tukiwa tunasubiri siku ya Ijumaa saa 8:30 mchana, ambapo Mh Tundu Lissu atakuwa anamuongoza DCI Kingai kwenye kesi inayomkabili Tundu Lissu nimeona niwaletee kumbukumbu ya Wakili Kibatala...
Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya...
Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu...
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Jamaa ni Mwamba kwelikweliiiiiii Ambaye Watu wenye Uwezo Mdogo Aina ya John Heche Hawatakaa Wamsahau Huyu Mwamba .
Mwamba Amemgeuza Geuza Heche utafikiri Samaki...
Hakuna asiejua Maria Sarungi , Mange Kimambi ni Waccm wa kuzaliwa, Kukulia, na wamewahi kutumika kuijenga Ccm.
Je watu Hawa sio Mpango wa Watu wale?
Chadema tunawapenda Jitafakarini.
Heche Kaa...
Mjumbe wa Kamati Kuu Cdm Godbless Lema alitangaza leo atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari Hotel X na Kuwaalika Waandishi lakini Leo Alfajiri Hoteli Maarufu anaoishi Godii yalionekana magari 4...
Wananchi wanatakiwa kuamua kama Muungano unawafaa au haufai.
Wazanzibari wanasema unanyonya kiasi hata cha kutokuwa na uanachama Un na Caf.
Watanganyika wanalalamika kuwa taifa lao limemezwa...
Ya Oktoba 29 2025, Mtayajibu tu!!.
Kama Lissu kayauliza kwa Mashahidi wa Jamhuri , kayagusia kwa Mashahidi wa Utetezi!!.
Jiandaeni kutujibu Watanganyika, Ni nani aliwaua Watanganyika wenzetu...
Imenishangaza sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Waziri wa serikali ya CCM akipiga marufuku magari ya serikali kubeba mkaa.
Yaani dereva akitoka safari asichukue hata junia moja la kwenda...
Je,
ni kwasababu ya utetezi mbovu uliwasilishwa na viongozi wa chadema taifa dhidi ya mwenyekiti wao na kwamba umewavunja moyo na kuwakatisha tamaa kabisa wanachama wa chadema na kwamba, hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.